Salaaam! Ndugu jamaa na Marafiki,
Napenda kuwakaribisha kuhudhuria kikao cha kwanza cha maandalizi ya harusi ya ATHANAS NTAGANYAMBA kitakachofanyika siku ya jumapili tarehe 17/08/2014 saa 9:30 jioni-MAWELA BAR SINZA OPPOSITE NA VATICAN. Kufika kwako ndio mafanikio ya harusi hii.
Harusi inategemewa kufanyika tarehe 18/10/2014 DAR.
Kwa wale wasioweza kuhudhuira mnakaribishwa kutoa michango yenu na ahadi.
Michango kupitia TIGO PESA au M- PESA.
Namba za simu- 0713628793 / 0764285402.
Asanteni sana na Karibuni.
Salaaam! Ndugu jamaa na Marafiki,
Napenda kuwakaribisha kuhudhuria kikao cha kwanza cha maandalizi ya harusi ya COMORO MWENDA kitakachofanyika siku ya jumapili tarehe 30/11/2014 saa 9:00 jioni-Kebbys Hotel Mwenge Kufika kwako ndio mafanikio ya harusi hii.
Harusi inategemewa kufanyika tarehe 14/02/2015DAR.
Kwa wale wasioweza kuhudhuira mnakaribishwa kutoa michango yenu na ahadi.
Michango kupitia TIGO PESA au M- PESA.
Sent from my iPhone
Namba za simu- 0717552286 / 0767552286
Asanteni sana na Karibunu
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Nipo kwenye jiji la samaki na CSSC ART |