Maandalizi ya Harusi -Athanas Ntaganyamba

7 views
Skip to first unread message

Athanas Emmanuel

unread,
Sep 23, 2014, 4:41:53 AM9/23/14
to mkungu-...@googlegroups.com

Ndugu jamaa na Marafiki natumaini hamjambo.

 

TUKIWA TUMEBAKIZA SIKU CHACHE ILI TUKIO LIWEZE KUKAMILIKA BASI,

 

Napenda kuwakumbushia mchango wa hali na mali ili kuweza kufanikisha harusi ya ATHANAS NTAGANYAMBA inatarajiwa kufanyika tarehe 18/10/2014 DAR.

Unaweza kutuma ahadi yako au michango kupitia Tigopesa au Mpesa. Namba za simu 0713628793/0764285402.

 

Asanteni sana..

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages