Taarifa za msiba

45 views
Skip to first unread message

Godliving Alfred

unread,
Nov 18, 2013, 9:50:48 AM11/18/13
to Godliving Alfred
Nasikitika kuwataarifu kuhusu msiba wa mtoto wa Mkami (Jamaton). Taratibu za mazishi zinafanyika mbezi beach maeneo ya kota za Benki kuu. Mazishi ya Jamaton yatakuwa kesho mchana kwenye makaburi yaliyopo mbezi beach. Kujua direction za kufika tafadhali wasiliana na wanamkingu wengi wameenda.
Tuungane sote kumsupport mwenzetu katika kipindi hiki kigumu.

Godliving

Sent from my iPhone

Emmanuel Massawe

unread,
Nov 18, 2013, 9:54:40 AM11/18/13
to mkungu-...@googlegroups.com

Tunashukuru kwa taarifa..natoa pole sana kwa mkami na familia yake..pia kwa wanamkungu.poleni sana

--

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Peter Makundi

unread,
Nov 19, 2013, 1:02:29 AM11/19/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Mkami pole sana na MUNGU akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu GODLIVING MI NIKO MBALI MICHANGO YA RAMBIRAMBI VIPI

modestus mulimila

unread,
Nov 19, 2013, 1:42:19 AM11/19/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Pole sana mdogo wangu Mkami nimepokea taarifa hizi kwa mshituko mkubwa
sana na hasa baada ya kupotezana kwa  kipindi kirefu mungu akutie nguvu katika kipindi
hiki kigumu ulimpenda sana mwanao lakini mungu kampenda zaidi

Edwin Swai

unread,
Nov 19, 2013, 2:27:19 AM11/19/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Dear Mkami,

Pole sana na msiba. Our prayers are with you and your family.

Edwin

__________________________________________
Edwin Swai | UNODC
NPC Tanzania

Infosys House| Plot 17, Mwindu Lane Road
Ada Estate| kinondoni| Box 9182| Dar es Salaam
C:+255 782 375 200| Skype:
edwinswai
web: www.unodc.org

The healthy prison is the product of an environment that, within the confines of the law and the penal system, promotes and maintains health

2013/11/19 Peter Makundi <peter...@yahoo.com>

Matrida Lugenge

unread,
Nov 19, 2013, 6:42:14 AM11/19/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Pole sana Mkami

Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia.Namwomba Mungu ampokee Jamaton and May his soul rest in Peace.Amen

Matrida

2013/11/19 Peter Makundi <peter...@yahoo.com>

jeniffer kahangwa

unread,
Nov 19, 2013, 2:23:45 AM11/19/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Pole sana dada msami,najua ni kipindi kigumu sana katika hali yetu ya ubinadamu,tunakuombea Mungu akupe neema ya kuimili mapito unayoyapitia.

Aden Mpasa

unread,
Nov 22, 2013, 6:28:48 AM11/22/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Mkami pole sana kwa msiba huu, Mungu awaongoze na kuwalinda katika mapito haya magumu.

2013/11/18 Godliving Alfred <livang...@hotmail.com>

mkami kyanyari

unread,
Nov 25, 2013, 5:27:08 AM11/25/13
to mkungu-...@googlegroups.com
Nawashukuru ndugu zangu kwa sala na ushirikiano mliouonyesha katika kipindi hiki kigumu nilichopitia,mungu awabariki sana.
 
Mkami.

On Friday, November 22, 2013 2:28 PM, Aden Mpasa <mkung...@gmail.com> wrote:
Mkami pole sana kwa msiba huu, Mungu awaongoze na kuwalinda katika mapito haya magumu.

2013/11/18 Godliving Alfred <livang...@hotmail.com>
Nasikitika kuwataarifu kuhusu msiba wa mtoto wa Mkami (Jamaton). Taratibu za mazishi zinafanyika mbezi beach maeneo ya kota za Benki kuu. Mazishi ya Jamaton yatakuwa kesho mchana kwenye makaburi yaliyopo mbezi beach. Kujua direction za kufika tafadhali wasiliana na wanamkingu wengi wameenda.
Tuungane sote kumsupport mwenzetu katika kipindi hiki kigumu.

Godliving

Sent from my iPhone

--

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Emmanuel Massawe

unread,
Nov 25, 2013, 5:29:49 AM11/25/13
to mkungu-...@googlegroups.com

Pole sana mungu akutie moyo na familia.

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages