--Wanamkungu,
Kwanza poleni sana na majukumu ya hapa na pale; pia natoa pole za dhati kwa wanamkungu wenzangu ambao waliopata matatizo hasa ya kuondokewa na wapendwa wao, na mengine ambayo walipata matitizo mengine yaliwafanya wawe na majonzi.
Leo nakuja na kitu kipya, ila kwa wakongwe kitakuwa ni cha kukumbushana tu juu ya kusudi hasa la kuanzishwaji wa mkungu huu.
Kusudi kuu la kuanzisha mkungu ilikuwa ni kuwa na kikundi cha watu ambao watabadilishana mawazo juu ya kuzikabili changamoto za kimaisha; ni kweli tumekuwa tukibadilsihana mawazo lakini bila kuwa na uwezo kiuchumi nafikiri bado tunakuwa hatujakidhi lengo kuu la uanzishwaji wa Mkungu familly, kwa maneno mengine hatuutendei haki mkungu familly.
Kuna kipindi tulienda vizuri na ikafikia hadi mwanamkungu mmoja akatoa draft ya katiba ambayo wengi tunayo kwenye inbox za email zetu, sina uhakika kama kuna feed back yoyote ilipatikana.
Ombi kwa wanamkungu:
Kikundi kimekuwa kikubwa mno, na sasa tunaweza kabisa ku-retrive yale yote tuliyokuwa tumekubalina kuyatimiza muda ule na tuyafanye sasa.; kwa mfano
a) Tulikubaliana tuwe na katiba na ndani ya katiba kuwe na ufafanuzi wa muundo wa jumuiya yetu - Wengine wakapendekeza iwe mkungu saccos na wengine wakafika mbali na kusema kwa sababu kikundi kimesheheni wataalamu wa fani mbalimbali basi baadaye tunaweza kukaifanya ikawa taasisi.
b) Tukubaliana kila kwezi kuanza kutoka michango kidogo kidogo ili kujiwekea uwezo wa kiuchumi, nakumbuka hata viongozi wa ukisanyaji michango hii walipatikana na kiasi cha mchango kwa mwenzi kilikubalika
c) Pia tulikubaliana tuwe na vitengo vya ujasilimali katika nyanja za Ufugaji, Kilimo, na tukawaomba baadhi ya wanamkungu wanaofanya mambo haya waweze kutoa elimu ya sekta hizi baadhi ya wanamkungu walijitolea kufanya hivyo (consultations)
Nilibahatika kukutana na wanamkungu wawili pamoja na mambo mengine tulijadili mfumo wa mkungu na tukapendekeza yafuatayo;
Modelator atuandikie email fupi wanamkungu wote ili tupate wote walio active na wenye nia ya kurudi kwenye root ya mkungu. (Back to mkungu root) Wale watakaokubaliana basi tuanze mara moja kuunda mkungu imara hii ni pamoja na kumwomba wana mkungu aliyekuwa tayari kuandika katiba - aendelee na kazi hiyo;
Ni hayo tu ndugu zangu, nawatakia wiki njema, kazi njema, Tukumbuke tu Umoja ni nguvu na umoja, na nguvu hiyo inapatikana tu kama kuna uchakavu - mungu awape nguvu.
nawakilisha
Mwana - Mkungu.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Tuanzisheni SACCOS!
------Original Message------
From: LUCAS KILYAPEKA
Sender: mkungu-...@googlegroups.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
ReplyTo: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Sent: 12 Jun 2013 10:01
Wakuu, Ijumaa nilitoka mapema hii topic ilinipta; cha msingi hapa ni kuanza na SACCOS!!; Msingi wa Jumuiya yoyote ile huwa ni uchakavu kwanza (finance), Lets say tukiwa 20 then tutakubaliana tuanze wa kuchangishana ngapi ngapi kwa muda ili kupate nguvu ki-uchumi then mambo mengine ya uwekezaji, mikopo kwa wanachama, hisa nayo yatafuata.
Tunajua kila mmoja wetu ana kitu anafanya individually, kifamilia, wengine wapo kwenye vikundi vyao, nk hiyo sasa itakuwa advantage kwetu kupata uzoefu wao huko nyuma walifanyaje fanyaje.
Mi naona wazo la Mashinji ni zuri tupate wananchama serious 20; ambao tukipata 2m kwa kila mmoja hadi Dec 2013; tutakuwa tumetengeneza 40mil. Hii pesa inaweza kutosha kuanza activities za chama kama mikopo, uwekezaji nk; wale wengine wataanza kujiunga baadaye kwa kununua hisa kama Lwaka alvyogagadua.
Dokezo: Hii si ndoto - ni wazo tu wakuu nawakilisha.
LK
Date: Tue, 11 Jun 2013 16:16:31 +0300
Subject: Re: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
Tuanzisheni SACCOS!
On Jun 11, 2013 4:10 PM, "Mwemezi Nathan Ngemera" <nge...@gmail.com> wrote:
kwa kuanzia naomba kuwakumbusha email toka kwa ndugu Lucas, kuhusu umoja wa mkungu na kufikiria maendeleo. kila mmoja aisome tena. alipotuma mara ya kwanza hakuna aliyejibu. sasa tujibu.
2013/5/20 LUCAS KILYAPEKA <kily...@hotmail.com>
Wanamkungu,
Kwanza poleni sana na majukumu ya hapa na pale; pia natoa pole za dhati kwa wanamkungu wenzangu ambao waliopata matatizo hasa ya kuondokewa na wapendwa wao, na mengine ambayo walipata matitizo mengine yaliwafanya wawe na majonzi.
Leo nakuja na kitu kipya, ila kwa wakongwe kitakuwa ni cha kukumbushana tu juu ya kusudi hasa la kuanzishwaji wa mkungu huu.
Kusudi kuu la kuanzisha mkungu ilikuwa ni kuwa na kikundi cha watu ambao watabadilishana mawazo juu ya kuzikabili changamoto za kimaisha; ni kweli tumekuwa tukibadilsihana mawazo lakini bila kuwa na uwezo kiuchumi nafikiri bado tunakuwa hatujakidhi lengo kuu la uan
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
Great start Mr Luke.
Two millions is an acceptable deal.
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. ...
Guys keep filling your names and June 30, 2013 is the suggested closure date for registration.
Lets keep going!
Its me
vbm
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Please add Rose Kokusima aka Kokuutamu Mugashe.
Ila wadau, hiyo 2m, nahizi kuna watu ambao watakuw ana interest ya kujiunga ila huo uwezo wa kufikisha hizo 2m by Dec, ni ndoto.
Nawakilisha mswaada ufikiriwe kwa undani zaidi.
Rose
3. Pamela Lwakabare
4. Lucy Massawe
5. Rose Kokusima Mugashe
6. ...
7. ....

Ni wazo zuri na mwanzo mzuri pia ila sio wote wenye nia wataweza kufika dau hilo ningeshauri dau lifikiriwe ili kila mwenye nia aweze kujiunga. Na vilevile jambo serious kama hili sio vizuri kuliongelea kwa email tu kuna umuhimu wa kuonana pia.
Mhhhhhh kaka hiyo ni ngumu
Bado watu 15 tu...
Keep going!
Bado watu 15 tu...
Keep going!
Updated list so far:
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
4. Lucy Massawe
5. Rose Kokusima Mugashe
6. ...
7. ....
.
.
.
.
.
.
.
Guys keep filling your names and June 30, 2013 is the suggested closure date for registration.
Lets keep going!
From: rose_e...@hotmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Date: Wed, 12 Jun 2013 14:36:00 +0300
Please add Rose Kokusima aka Kokuutamu Mugashe.
Ila wadau, hiyo 2m, nahizi kuna watu ambao watakuw ana interest ya kujiunga ila huo uwezo wa kufikisha hizo 2m by Dec, ni ndoto.
Nawakilisha mswaada ufikiriwe kwa undani zaidi.
Rose
From: mkungu-...@googlegroups.com [mailto:mkungu-...@googlegroups.com] On Behalf Of LUCAS KILYAPEKA
Sent: Wednesday, June 12, 2013 11:32 AM

I' the 2nd to the list...

Mwombe engineer!

Jack
Ulitaka kujua tuna member wangapi kwa mkungu. So far tuna members 61.
| i totally agree with Mavere. --- On Thu, 6/13/13, Peter Makundi <peter...@yahoo.com> wrote: |
kwa kuanzia naomba kuwakumbusha email toka kwa ndugu Lucas, kuhusu umoja wa mkungu na kufikiria maendeleo. kila mmoja aisome tena. alipotuma mara ya kwanza hakuna aliyejibu. sasa tujibu.
Wanamkungu,
Kwanza poleni sana na majukumu ya hapa na pale; pia natoa pole za dhati kwa wanamkungu wenzangu ambao waliopata matatizo hasa ya kuondokewa na wapendwa wao, na mengine ambayo walipata matitizo mengine yaliwafanya wawe na majonzi.
Leo nakuja na kitu kipya, ila kwa wakongwe kitakuwa ni cha kukumbushana tu juu ya kusudi hasa la kuanzishwaji wa mkungu huu.
Kusudi kuu la kuanzisha mkungu ilikuwa ni kuwa na kikundi cha watu ambao watabadilishana mawazo juu ya kuzikabili changamoto za kimaisha; ni kweli tumekuwa tukibadilsihana mawazo lakini bila kuwa na uwezo kiuchumi nafikiri bado tunakuwa hatujakidhi lengo kuu la uanzishwaji wa Mkungu familly, kwa maneno mengine hatuutendei haki mkungu familly.
Kuna kipindi tulienda vizuri na ikafikia hadi mwanamkungu mmoja akatoa draft ya katiba ambayo wengi tunayo kwenye inbox za email zetu, sina uhakika kama kuna feed back yoyote ilipatikana.
Ombi kwa wanamkungu:
Kikundi kimekuwa kikubwa mno, na sasa tunaweza kabisa ku-retrive yale yote tuliyokuwa tumekubalina kuyatimiza muda ule na tuyafanye sasa.; kwa mfano
a) Tulikubaliana tuwe na katiba na ndani ya katiba kuwe na ufafanuzi wa muundo wa jumuiya yetu - Wengine wakapendekeza iwe mkungu saccos na wengine wakafika mbali na kusema kwa sababu kikundi kimesheheni wataalamu wa fani mbalimbali basi baadaye tunaweza kukaifanya ikawa taasisi.
b) Tukubaliana kila kwezi kuanza kutoka michango kidogo kidogo ili kujiwekea uwezo wa kiuchumi, nakumbuka hata viongozi wa ukisanyaji michango hii walipatikana na kiasi cha mchango kwa mwenzi kilikubalika
c) Pia tulikubaliana tuwe na vitengo vya ujasilimali katika nyanja za Ufugaji, Kilimo, na tukawaomba baadhi ya wanamkungu wanaofanya mambo haya waweze kutoa elimu ya sekta hizi baadhi ya wanamkungu walijitolea kufanya hivyo (consultations)
Nilibahatika kukutana na wanamkungu wawili pamoja na mambo mengine tulijadili mfumo wa mkungu na tukapendekeza yafuatayo;
Modelator atuandikie email fupi wanamkungu wote ili tupate wote walio active na wenye nia ya kurudi kwenye root ya mkungu. (Back to mkungu root) Wale watakaokubaliana basi tuanze mara moja kuunda mkungu imara hii ni pamoja na kumwomba wana mkungu aliyekuwa tayari kuandika katiba - aendelee na kazi hiyo;
Ni hayo tu ndugu zangu, nawatakia wiki njema, kazi njema, Tukumbuke tu Umoja ni nguvu na umoja, na nguvu hiyo inapatikana tu kama kuna uchakavu - mungu awape nguvu.
nawakilisha
Mwana - Mkungu.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
.....................................................................................
Mwemezi Elnathan Ngemera, BPharm, MAHMPP
Director - Maternal, Sexual and Reproductive Health
Care International in Tanzania
P. O. Box 10242 Dar es salaam, Tanzania
Phone:+2552666755; Mob +255713134030
Point
Kwa maelezo haya hat mwenye kichwa kigumu atakuwa amefunguka na nina imani wenye nia wote wataorodhesha majina yao tayari kwa kikao cha kwanza. Mimi sitakuwepo nitakuwa moshi kwa msiba ila nina imani watakaokuwepo watasababisha kitu kizuri. Naunga mkono hoja
Godliving Alfred Nnyari
2013/6/13 JUSTINE JOVIN <justine...@yahoo.com>
Date: Wed, 12 Jun 2013 21:13:39 +0300
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
Mwombe engineer!
On Jun 12, 2013 9:00 PM, "jacqueline mosha" <leos...@hotmail.com> wrote:
Sina pesa iyo hela ndefu sana
--
+1-703-953-0268
Arlington, VA
Here we go.
Majigo added so 11 guys to go!
You see...10 to go...come on! Protas sijakuona!
Lucas umeona jina la Peter! Ongeza...
--
Lucas mbona kama umeruka majina mengi tu angalia post za watu vizuri nashangaa mimi mwenyewe sijioni hapo, nitaweka mgomo hahahahah
From: mkungu-...@googlegroups.com [mailto:mkungu-...@googlegroups.com] On Behalf Of LUCAS KILYAPEKA
Sent: Friday, June 14, 2013 3:01 PM
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
update list.....
2013/6/14 LUCAS KILYAPEKA <kily...@hotmail.com>
2013/6/14 <plw...@yahoo.com>
2013/6/13 Athanas Ntaganyamba <atha...@gmail.com>
2013/6/13 JUSTINE JOVIN <justine...@yahoo.com>
Date: Wed, 12 Jun 2013 21:13:39 +0300
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.comMwombe engineer!
On Jun 12, 2013 9:00 PM, "jacqueline mosha" <leos...@hotmail.com> wrote:
Sina pesa iyo hela ndefu sana
--
+1-703-953-0268
Arlington, VA
--
+1-703-953-0268
Arlington, VA
Mavere yupo sahihi kabisa
From: Mavere Tukai
Sent: 13 June 2013 11:54
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: Re: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Mlets think critically on thispia kuna wenye muda na committment bila pesahii ya flat rate inaumiza baadhiwe do have different commitments, different talents, different abilities, different financial muscles, different visions etc.Hi from DarI am just concerned kama kweli tunaweza kuweka business venture on equal shares
On Wed, Jun 12, 2013 at 10:04 PM, jacqueline mosha <leos...@hotmail.com> wrote:
Wote majanga ona majangaa
Kazini niende mie,kufanya nifanye mie,
Mshahara achukue yeye.....majanga mbona majangaaa
Date: Wed, 12 Jun 2013 21:13:39 +0300
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
On Jun 12, 2013 9:00 PM, "jacqueline mosha" <leos...@hotmail.com> wrote:
Sina pesa iyo hela ndefu sana
Date: Wed, 12 Jun 2013 20:55:17 +0300

Acha maneno Jacque andika jina.....
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: jacqueline mosha <leos...@hotmail.com>
Date: 12/06/2013 19:41 (GMT+03:00)
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Aisee Mashinji hii style tunayotumia ni ya umangisuna kwa mtizamo wangu wote hapa ni watu wazima na nafikiri kwa kuandika huku sidhani kama tutafika mahali bila kukutana na zaidi baadhi ya watu kuona wamekuwa isolated.
Mtizamo wangu hoja vuguvugu ishatolewa na ili kupata muendelezo wa haya lazima kuwe na face to face meeting obviously watakaojitokeza naamini ndio watakuwa na interest na hiki kitu lakini haya mambo ya kusema moja ,mbili,tatu huku na hiyo amount kwangu sio sahihi.
1.Itisheni mkutano wa wanamkungu wote nia na malengo ni kuanzisha SACCOSS tupeane mawazo kama haiwezekani kila mmoja kupata iyo 2m by december kuwe na mfuko wa kawaida wa kikundi ambao kila mmoja ataweza kushiriki kwa atakayependa.
2.Ndani ya huo mkutano hao sasa wenye uwezo wa kuchangia hizo 2m sio mbaya wakaendelea na utaratibu wao .
3.Tumeshawafikiria wanamkungu wanaoishi mkoani maana naamini huku kulikuwa na watu wa crs Mwanza na Arusha.
Tunapotoa hoja hasa inayohusu kikundi ama chama kinachojumuisha watu wa rika mbali mbali,kipato tofauti pamoja na mitizamo tusianze kwa hoja za kuwafanya wachache au waliowengi kuvunjika moyo mapema waeza kuta hao ndio watakaokuja kuwa wanachama watiifu na hai baadae.
LABDA GOD NA MAVERE WATUAMBIE MKUNGU UNA WANACHAMA WANGAPI MAANA SURA ZINAZOONEKANA KILA SIKU HUMU NI ZILE ZILE AU KUNA CHEPEO LILIPITA.
Date: Wed, 12 Jun 2013 19:13:03 +0300
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
On Jun 12, 2013 3:30 PM, "LUCAS KILYAPEKA" <kily...@hotmail.com> wrote:
Updated list so far:
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
4. Lucy Massawe
5. Rose Kokusima Mugashe
6. ...
7. ....
.
.
.
.
.
.
.
Guys keep filling your names and June 30, 2013 is the suggested closure date for registration.
Lets keep going!
From: rose_e...@hotmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Date: Wed, 12 Jun 2013 14:36:00 +0300
Please add Rose Kokusima aka Kokuutamu Mugashe.
Ila wadau, hiyo 2m, nahizi kuna watu ambao watakuw ana interest ya kujiunga ila huo uwezo wa kufikisha hizo 2m by Dec, ni ndoto.
Nawakilisha mswaada ufikiriwe kwa undani zaidi.
Rose
From: mkungu-...@googlegroups.com [mailto:mkungu-...@googlegroups.com] On Behalf Of LUCAS KILYAPEKA
Sent: Wednesday, June 12, 2013 11:32 AM
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
I' the 2nd to the list...
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
.
.
.
.
.
Guys keep filling your names and June 30, 2013 is the suggested closure date for registration.
Lets keep going!
Date: Wed, 12 Jun 2013 10:59:11 +0300
Subject: Re: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
Great start Mr Luke.
Two millions is an acceptable deal.
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. ...
Guys keep filling your names and June 30, 2013 is the suggested closure date for registration.
Lets keep going!
Its me
vbm
On Jun 12, 2013 10:39 AM, <plw...@yahoo.com> wrote:
Lucas... Nimekupenda sana ghafla!!
------Original Message------
From: LUCAS KILYAPEKA
Sender: mkungu-...@googlegroups.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
ReplyTo: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Sent: 12 Jun 2013 10:01
Wakuu, Ijumaa nilitoka mapema hii topic ilinipta; cha msingi hapa ni kuanza na SACCOS!!; Msingi wa Jumuiya yoyote ile huwa ni uchakavu kwanza (finance), Lets say tukiwa 20 then tutakubaliana tuanze wa kuchangishana ngapi ngapi kwa muda ili kupate nguvu ki-uchumi then mambo mengine ya uwekezaji, mikopo kwa wanachama, hisa nayo yatafuata.
Tunajua kila mmoja wetu ana kitu anafanya individually, kifamilia, wengine wapo kwenye vikundi vyao, nk hiyo sasa itakuwa advantage kwetu kupata uzoefu wao huko nyuma walifanyaje fanyaje.
Mi naona wazo la Mashinji ni zuri tupate wananchama serious 20; ambao tukipata 2m kwa kila mmoja hadi Dec 2013; tutakuwa tumetengeneza 40mil. Hii pesa inaweza kutosha kuanza activities za chama kama mikopo, uwekezaji nk; wale wengine wataanza kujiunga baadaye kwa kununua hisa kama Lwaka alvyogagadua.
Dokezo: Hii si ndoto - ni wazo tu wakuu nawakilisha.
LK
Date: Tue, 11 Jun 2013 16:16:31 +0300
Subject: Re: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
2013/6/13 JUSTINE JOVIN <justine...@yahoo.com>
From: Godliving Alfred Nnyari <livang...@hotmail.com>
To: mkungu-...@googlegroups.com
Sent: Thursday, June 13, 2013 3:03 PM
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
PointFrom: mkungu-...@googlegroups.com [mailto:mkungu-...@googlegroups.com] On Behalf Of Mavere Tukai
Sent: Thursday, June 13, 2013 11:55 AM
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: Re: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUPHi from DarI am just concerned kama kweli tunaweza kuweka business venture on equal shareswe do have different commitments, different talents, different abilities, different financial muscles, different visions etc.hii ya flat rate inaumiza baadhipia kuna wenye muda na committment bila pesalets think critically on thisM
On Wed, Jun 12, 2013 at 10:04 PM, jacqueline mosha <leos...@hotmail.com> wrote:
Wote majanga ona majangaa
Kazini niende mie,kufanya nifanye mie,
Mshahara achukue yeye.....majanga mbona majangaaa
Date: Wed, 12 Jun 2013 21:13:39 +0300
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.comMwombe engineer!
On Jun 12, 2013 9:00 PM, "jacqueline mosha" <leos...@hotmail.com> wrote:
Sina pesa iyo hela ndefu sana
Date: Wed, 12 Jun 2013 20:55:17 +0300
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
From: vmas...@gmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.comAcha maneno Jacque andika jina.....Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: jacqueline mosha <leos...@hotmail.com>
Date: 12/06/2013 19:41 (GMT+03:00)
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Aisee Mashinji hii style tunayotumia ni ya umangisuna kwa mtizamo wangu wote hapa ni watu wazima na nafikiri kwa kuandika huku sidhani kama tutafika mahali bila kukutana na zaidi baadhi ya watu kuona wamekuwa isolated.
Mtizamo wangu hoja vuguvugu ishatolewa na ili kupata muendelezo wa haya lazima kuwe na face to face meeting obviously watakaojitokeza naamini ndio watakuwa na interest na hiki kitu lakini haya mambo ya kusema moja ,mbili,tatu huku na hiyo amount kwangu sio sahihi.
1.Itisheni mkutano wa wanamkungu wote nia na malengo ni kuanzisha SACCOSS tupeane mawazo kama haiwezekani kila mmoja kupata iyo 2m by december kuwe na mfuko wa kawaida wa kikundi ambao kila mmoja ataweza kushiriki kwa atakayependa.
2.Ndani ya huo mkutano hao sasa wenye uwezo wa kuchangia hizo 2m sio mbaya wakaendelea na utaratibu wao .
3.Tumeshawafikiria wanamkungu wanaoishi mkoani maana naamini huku kulikuwa na watu wa crs Mwanza na Arusha.
Tunapotoa hoja hasa inayohusu kikundi ama chama kinachojumuisha watu wa rika mbali mbali,kipato tofauti pamoja na mitizamo tusianze kwa hoja za kuwafanya wachache au waliowengi kuvunjika moyo mapema waeza kuta hao ndio watakaokuja kuwa wanachama watiifu na hai baadae.
LABDA GOD NA MAVERE WATUAMBIE MKUNGU UNA WANACHAMA WANGAPI MAANA SURA ZINAZOONEKANA KILA SIKU HUMU NI ZILE ZILE AU KUNA CHEPEO LILIPITA.
From: rose_e...@hotmail.com
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
Date: Wed, 12 Jun 2013 14:36:00 +0300
Please add Rose Kokusima aka Kokuutamu Mugashe.
Ila wadau, hiyo 2m, nahizi kuna watu ambao watakuw ana interest ya kujiunga ila huo uwezo wa kufikisha hizo 2m by Dec, ni ndoto.
Nawakilisha mswaada ufikiriwe kwa undani zaidi.
Rose
From: mkungu-...@googlegroups.com [mailto:mkungu-...@googlegroups.com] On Behalf Of LUCAS KILYAPEKA
Sent: Wednesday, June 12, 2013 11:32 AM
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
I' the 2nd to the list...
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
.
.
.
.
.
Guys keep filling your names and June 30, 2013 is the suggested closure date for registration.
Lets keep going!
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mkungu-familly%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--.....................................................................................
Mwemezi Elnathan Ngemera, BPharm, MAHMPP
Director - Maternal, Sexual and Reproductive Health
Care International in Tanzania
P. O. Box 10242 Dar es salaam, Tanzania
Phone:+2552666755; Mob +255713134030
--
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mkungu Family" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mkungu-famill...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Watanzania tuacheni kuogopa vivuli vyetu. Andikeni majina kwanza kisha kikao halafu mengine ni mbele kwa mbele...huwezi kuwa na biashara isiyo na mtaji.
Mashinji nimependa neno lako huwezi kuwa na biashara bila mtaji. Ni vema tukazingatia hilo.
Mimi naomba kuongezea 'huwezi kuwa na.biashara bila ya kuwwa na vision" ...
Binafsi nimeshiriki katika makundi mengi na niilochogundua ni.hiki inabbidi wanakikundi.kuwa na ndoto inayofanana na kukubali kuhangaika na wakati mwingine kupoteza au.kupAta hasara mwanzoni ilikupata mafanikio baadae.
Nawashukuru wote walionyesha nia. Sasa naapendeeekeza tuingie hatua ya pili ya kikao ambapo napendekeza iwe next week au.a week after. Kukutana iwe kujadili agenda hizi 1, vision yetu ni nini 2, roadmap yetu iweje na 3,kupata viongozi.wa kutuonyesha njia ya kufikia ndoto.
Mimi bahati mbaya next week sipo ila.tupeane.mrejesho..
Dr. Anthony alipendekeza jumatatu, je.wote tunaiafiki? If yes pendekeza.venue.
Mwisho ni vema kuweka malengo mfano.kuna wamependekeza tuchange tuffikie 40m ...hayo ni.mawazo.mazuri. Mimi naamini tunaweza kabisa. Kinachotakiwa tuanze kufikiria mioyoni mwetu ni kitu gani tuttafanya tukishakusanya hizohela.
Mbarikiwe.
Mwemezi
update list..... (kama hujaliona jina lako please remind)
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
4. Lucy Massawe
5. Rose Kokusima Mugashe
6. Mwemezi Ngemela
7. Mavere Tukai
8. Athanas Ntaganyamba
9. Mtebe Majigo
10.Dr Antony Leonard
11.Mkami Kyanyari
12. Godliving Alfred13. Jack Mosha14. Benjamini Chikira
.
.
.
.
.
.
.
20
14. Benjamini Chikira
15. Rose Mbiku
Hivi wewe Prosper, mbona email ipo blank.
Sema unajiunga/upo kwenye list au ………………….
Kikao vipi kipo au hakipo leo?
Salamu.
Ushauri wangu fanyeni kikao this week.
Mm nipo nje ya dar
Mi pia nipo nje ya Dar. Lakini! Kama tulisema kujiandikisha mwisho ni Juni 30, 2013...nadhani tusubiri hiyo deadline tujue column ni kiasi gani kisha mambo yaanza.
Napendekeza kikao kiwe wiki ya kwanza ya July.
Nawasilisha
--
We go we go we goooo!Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: LUCAS KILYAPEKA <kily...@hotmail.com>
Date: 14/06/2013 15:01 (GMT+03:00)
To: mkungu-...@googlegroups.com
Subject: RE: {Mkungu Familly} Going back to the root..ORGANIZED MKUNGU GROUP
update list.....
The list of founding members goes like:
1. Dr. Vincent Biyegela Mashinji
2. Lucas Martin Kilyapeka
3. Pamela Lwakabare
4. Lucy Massawe
5. Rose Kokusima Mugashe
6. Mwemezi Ngemela
7. Mavere Tukai
8. Athanas Ntaganyamba
9. Mtebe Majigo
10.Dr Antony Leonard
11. Laurencia Michael Kiringo
--
Without forgetting OMULANGIRA MUTAYOBA
|
Lucas ratibu kikao cha kwanza na agenda zile hizi:
1. Kuunda kikosi kazi/uongozi
2,. Kukusanya mawazo ya awali juu ya ndoto za wanakikundi
3, kutoa mawazo juu ya roadmap- haya ni mawazo yatakayofanyiwa kazi na kikosikazi