Wapendwa habari zenu? poleni kwa safari lakini nimefurahi sana kuona mapokezi mliyoyapata pale JKNIA, karibia kabisa yalingane na yale ya Obama. Kaka Rubuye niliona vikundi vya ngoma vya kutosha na wengine familia zilikutanika zikiwa na mashada ya maua yote hiyo ikiwa ni kutaka kuonesha kwamba wanawakaribisha nyumbani. Na wengine mlikesha kwa ngoma na party za kufa mtu, hongereni sana wapendwa. Presdent Mhalafu nakupa pongezi za dhati kwa kazi kubwa uliyoifanya at least passport zetu zina kamuhuri coz wengine zilikuwa zinaexpir this month, ahsante sana Mr. Presdent but cha kusikitisha wale majirani uliowaandaa wajipange barabarani kukupokea wa;likulet down na hata yale maua uliyowaambia wakunununlie kwa ajili ya kukuvisha pale airport hawakufanya hivyo, pole sana Mr Presdent. Yote kwa yote nimefurahishwa na ile Grand Party uliyoifanya the following day kule mabibo kuashiria kwamba u are now exposed.
Kaka yangu Tingo kule Moshi wanakusubiri kwa hamu ili mkamalize kale katambiko kwani imekuwa ni bahati sana kwa kijana wao kuibuka Bondeni.
Jmabo linguine jamani vijana safari hii imeonesha jinsi gani mmewiva kibiashara kwani baadhi yetu tumejitahidi kuexchange business card kwa kila tuliyekutana naye, ijapokuwa hatutokuwa intouch.
By the way, Chamabanenge naelewa unamis sana Bufee, hasa ukuzingatia muda si mrefu umetoka kupata Chai ya rangi na muhindi wa kuchoma. lakini usijali taratibu tu utafika baba. Bisheko usife moyo kwa kurudia maisha ya chai na viutmbua viwli kila asubuhi, hata wao kule Boksberg walikuwa kama sie so maisha mazuri yanakuja.
Wale akina mama wenzangu nawapa pole kwani najua mmesharudia zile stress zetu na House girls, kupanga milo ya kuanzia asubuhi hadi jioni. Najua wengi wetu tulishasahau hata kuatandika vitanda lakini sasa inabidi zoezi hilo liendelee. Cha msingi jitahidini kusave angalau mwakani tuombe likizo kwa waume zetu tukapumzike japo basi Nairobi.
Nwatakia kila la kheri katika kazi zenu pamoja na research
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "MIB-MIT" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
.