8 views
Skip to first unread message

Asimuna Kipingu

unread,
Jul 3, 2013, 12:53:48 AM7/3/13
to mib-mit
Wapendwa habari zenu? poleni kwa safari lakini nimefurahi sana kuona mapokezi mliyoyapata pale JKNIA, karibia kabisa yalingane na yale ya Obama. Kaka Rubuye niliona vikundi vya ngoma vya kutosha na wengine familia zilikutanika zikiwa na mashada ya maua yote hiyo ikiwa ni kutaka kuonesha kwamba wanawakaribisha nyumbani. Na wengine mlikesha kwa ngoma na party za kufa mtu, hongereni sana wapendwa. Presdent Mhalafu nakupa pongezi za dhati kwa kazi kubwa uliyoifanya at least passport zetu zina kamuhuri coz wengine zilikuwa zinaexpir this month, ahsante sana Mr. Presdent but cha kusikitisha wale majirani uliowaandaa wajipange barabarani kukupokea wa;likulet down na hata yale maua uliyowaambia wakunununlie kwa ajili ya kukuvisha pale airport hawakufanya hivyo, pole sana Mr Presdent. Yote kwa yote nimefurahishwa na ile Grand Party uliyoifanya the following day kule mabibo kuashiria kwamba u are now exposed.
 
Kaka yangu Tingo kule Moshi wanakusubiri kwa hamu ili mkamalize kale katambiko kwani imekuwa ni bahati sana kwa kijana wao kuibuka Bondeni.
 
Jmabo linguine jamani vijana safari hii imeonesha jinsi gani mmewiva kibiashara kwani baadhi yetu tumejitahidi kuexchange business card kwa kila tuliyekutana naye, ijapokuwa hatutokuwa intouch.
 
By the way, Chamabanenge naelewa unamis sana Bufee, hasa ukuzingatia muda si mrefu umetoka kupata Chai ya rangi na muhindi wa kuchoma. lakini usijali taratibu tu utafika baba. Bisheko usife moyo kwa kurudia maisha ya chai na viutmbua viwli kila asubuhi, hata wao kule Boksberg walikuwa kama sie so maisha mazuri yanakuja.
 
Wale akina mama wenzangu nawapa pole kwani najua mmesharudia zile stress zetu na House girls, kupanga milo ya kuanzia asubuhi hadi jioni. Najua wengi wetu tulishasahau hata kuatandika vitanda lakini sasa inabidi zoezi hilo liendelee. Cha msingi jitahidini kusave angalau mwakani tuombe likizo kwa waume zetu tukapumzike japo basi Nairobi.
 
Nwatakia kila la kheri katika kazi zenu pamoja na research 

Asimuna Kipingu

unread,
Jul 3, 2013, 12:57:10 AM7/3/13
to mib-mit
Wapezi naombeni namaba ya simu ya Vai. Namba niliyo nayo ya tigo haipo hewani. I am looking forward for your response

Lucian Tingo

unread,
Jul 3, 2013, 8:30:41 AM7/3/13
to mib...@googlegroups.com
Before u go all the way make sure experience affirms u n u accept nothing less than what u deserved!kumb kila jema satan nae analalama na hakosi walao harufu!hata j'burg nathani alifika-hayupo km barcelona kupigwa 7-0 bayern on aggr bila kukuruka!


Date: Wed, 3 Jul 2013 07:53:48 +0300
Subject:
From: amki...@gmail.com
To: mib...@googlegroups.com
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "MIB-MIT" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mib-mit+u...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

angela victor

unread,
Jul 3, 2013, 8:40:56 AM7/3/13
to mib...@googlegroups.com
i wish Mr Tingo ungekua mwandishi wa vitabu hasa poutry ungefaa na ungeuza sana, you are blezd Mr Tingo, soo talented! all tha best bro!


From: deti...@hotmail.com
To: mib...@googlegroups.com
Subject: RE:
Date: Wed, 3 Jul 2013 15:30:41 +0300

Lucian Tingo

unread,
Jul 3, 2013, 8:50:36 AM7/3/13
to mib...@googlegroups.com
"I have wondered at times about what the ten commandments would have looked like if Moses had run them thru our today's life esp MIB class!can u suggest what would be?realy our today's world is mo sicker than Honorable Mandela is!Advice: u should be the first person to ensure ya own security b4 the system do!


From: vicang...@hotmail.com
To: mib...@googlegroups.com
Subject: RE:
Date: Wed, 3 Jul 2013 15:40:56 +0300

angela victor

unread,
Jul 3, 2013, 9:06:54 AM7/3/13
to mib...@googlegroups.com
u made me smile Mr Tingo, bt u made me smile as well,kwani wothappened in SA jamani,I think
it was all about training, exposure, learning new things an different environment, an shoping ofcoz
thats all! all in all, thax for ur advice aisee, yaani inagusa sana," u should be the first person to ensure ya own security b4 the system do! ", thx brother Tingo
"

Date: Wed, 3 Jul 2013 15:50:36 +0300

EMMANUEL FELIX MBUYA

unread,
Jul 3, 2013, 9:09:47 AM7/3/13
to mib...@googlegroups.com, mib...@googlegroups.com
Mjeda Tingo....

Regards,

Emmanuel F Mbuya
255715092333
255787092333

Sent from my iPad

Japhet Bisheko

unread,
Jul 5, 2013, 9:07:38 AM7/5/13
to mib...@googlegroups.com
ha ha ha@ Asmuna... Naona ulikuja kupokelewa na msafara wa Ndugu... Inaonekana ndio mara ya kwanza kwenye ukoo wenu kushuhudia mwana ndugu kapanda pipa. Hongera sana kwa hatua....


2013/7/3 EMMANUEL FELIX MBUYA <efm...@gmail.com>



--
Japhet Bisheko.
Bcom: Marketing(Hons)
Sales Executive,

Asimuna Kipingu

unread,
Jul 6, 2013, 4:37:14 AM7/6/13
to mib-mit
Bisheko mi muke ya nshomile bana kupanda pipa nimezowea. actually hata kungekuwa na pipa from makongo to posta nisngepanda gari, chezea mama Asimwe wewe, suppose ungekuwa na motto mzuri kama mie, je ungekubali apande basi au train? lazima ujilipue ili awe anapanda pipa.


2013/7/5 Japhet Bisheko <wetv...@gmail.com>

Japhet Bisheko

unread,
Jul 6, 2013, 4:38:24 AM7/6/13
to mib...@googlegroups.com
ha ha ha ha. Asimuna sina mbavu shem wangu... Kweli kaka lazima ajitutumue maana kumiliki 'mtoto mkali' kama wewe sio mchezo!!!


2013/7/6 Asimuna Kipingu <amki...@gmail.com>

Dawson Rubuye

unread,
Jul 7, 2013, 2:38:34 AM7/7/13
to mib...@googlegroups.com
I like the way Madam lawyer handles these group jokes. Viva Madam Asmuna binti wa Kipingu.


From: Japhet Bisheko <wetv...@gmail.com>
To: mib...@googlegroups.com
Sent: Saturday, July 6, 2013 11:38 AM
Subject: Re: RE:

chambanenge erick

unread,
Jul 5, 2013, 10:40:10 AM7/5/13
to mib...@googlegroups.com
Nilidhani ni maono ndugu yangu Bisheko,wewe ndo sasa umenifumbua kuwa hayakuwa maono bali hali halisi Bi Asmuna akivishwa taji na mtoto wake mpendwa.



From: Japhet Bisheko <wetv...@gmail.com>
To: mib...@googlegroups.com
Sent: Friday, 5 July 2013, 16:07
Subject: Re: RE:

angela victor

unread,
Jul 10, 2013, 5:55:31 AM7/10/13
to mib...@googlegroups.com
teheeee teeeheeee,mbavu zangu mie........chezeya mama Asimwe muke ya muhaya a.k.a muke ya lecture!!


Date: Sat, 6 Jul 2013 23:38:34 -0700
From: sabhau...@yahoo.com
Subject: Re: RE:
To: mib...@googlegroups.com
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages