HOJA BINAFSI

11 views
Skip to first unread message

chambanenge erick

unread,
Aug 15, 2012, 11:38:24 PM8/15/12
to mib...@googlegroups.com

Kwa ruksa yako Mr. President,naomba kumpeleka huyu kijana Mabwepande kwa makosa yafuatayo.1 kudharau jeshi la polisi,2. Kumdharau msimamizi mwenzake 3. Kunisababishia usumbufu kwenye mtihani 4. Kufanya matangazo mengi kwenye chumba cha mtihani,5. Kuwa mnyanyasaji kwa kitendo cha kulazimisha watu wazima mbali na kuzima simu lakini kuziweka nje pasi na ulinzi na kusababisha blackberry yangu kuibiwa. 6.kukosa adabu. Naomba kuungwa mkono.

angela victor

unread,
Aug 15, 2012, 11:56:56 PM8/15/12
to chambanenge erick, mib...@googlegroups.com
Hahahhahhaahha Chams Chamz Chamz!!!!!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

Asimuna Kipingu

unread,
Aug 16, 2012, 1:12:35 AM8/16/12
to mib...@googlegroups.com
Mh President naomba mwongozo, coz mh Chamz ameidanganya ikulu yako
tukufu, kwan kwa nijuavyo mie mh. Chamz hana Blackbery na hakuwah
kumiliki hata ya mchina, na kama ujuavyo kwa mujibu wa kanun i za FN
ni kosa kusema uongo na yaweza kupelekea mhusika kurudi for september
comference, hivyo naomba kwa mamlaka uliyonayo mh. Chamz aamrishwe
kuthibitisha anayoyasema au aifunde na kuiondoa kabisa hoja yake

angela victor

unread,
Aug 16, 2012, 1:18:15 AM8/16/12
to Asimuna Kipingu, mib...@googlegroups.com
Sheria inasema mpinga hoja anaruhusiwa kuomba muongozo kwa kauli ambayo anaona si ya kweli,pia anaruhusiwa kuipinga hoja na kusema si ya kweli,na hapo ndipo mtoa hoja anapowajibika kuthibitisha kauli yake,akishindwa kuthibitisha hapo ndipo anapotakiwa kufuta kauli yake na adhabu yoyote inayomstahili, LAKINI akithibitisha ukweli juu ya hoja yake,basi MPINGA hoja atatakiwa kuthibitisha kauli yake ya madai kua mtoa hoja alisema uongo,asipofanya hivo basi atatakiwa kufuta kauli yake au adhabu yoyote inayostahili,kwa hiyo madam Asimuna au Chamz fungukeni sasa hahahahaha

Francis Mhalafu

unread,
Aug 16, 2012, 11:47:07 AM8/16/12
to mib...@googlegroups.com, Asimuna Kipingu
Tulieni kwanza, chamz thibitisha kuhusu blackberry na nipe PIN yako
kwanza. Mengine yatafata
--
Sent from my mobile device

Regards

Francis C. Mhalafu
CampUS Safaris Limited Co.
Director
www.campussafaris.co.cc
www.campussafaris.co.tz
fcmh...@gmail.com
+255 713 829 994
skype: Mhalafu
facebook: Francis Mhalafu 'langa'

josephine...@yahoo.com

unread,
Aug 16, 2012, 12:01:07 PM8/16/12
to mib...@googlegroups.com, Asimuna Kipingu
Hapo prezidaa umeua lazima akakusanye pini za virungu na zile za nepi za watoto wote mtaani kwao huku akiwashirikisha wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa mtaa bila kusahau kada maarufu wa chama chetu lol!


Sent from my BlackBerry® smartphone on 9910

chambanenge erick

unread,
Aug 16, 2012, 1:40:32 PM8/16/12
to mib...@googlegroups.com

Presidah uthibitisho wa blackberry yangu si wa kutumia PIN maana nina mashaka kufanya hivo. Tafadhali umiliki wa kitu si lazima uonekane maana nina vitu ninavo na ninatembea navyo na kuvitumia. Naona President unataka uungane kwenda mabwe.



------------------------------

Japhet Bisheko

unread,
Aug 16, 2012, 3:19:49 PM8/16/12
to mib...@googlegroups.com
Acheni kumsumbua Chams ale laki tisa yake kwa amani!
--
Japhet Bisheko.
Bcom:Marketing(Hons),
Ad Diploma in Banking,
Sales Executive,
Dar Es Salaam,
Tanzania.
Po Box 1533,
Morogoro

Azizi Munisi

unread,
Feb 13, 2014, 12:38:20 AM2/13/14
to mib...@googlegroups.com
wadau mpooooooooo.......


On Saturday, August 18, 2012 10:35 AM, Azizi Munisi <azizi...@yahoo.com> wrote:
naomba dogo CHAMS ujib hoja ya Mr.Presidaa, usiipotezee!!!

Sent: Thursday, August 16, 2012 7:01 PM
Subject: Re: HOJA BINAFSI

Francis Mhalafu

unread,
Feb 15, 2014, 12:56:22 AM2/15/14
to mib-mit

Mie nipo

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "MIB-MIT" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mib-mit+u...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Asimuna Kipingu

unread,
Feb 17, 2014, 3:36:34 AM2/17/14
to mib-mit
Napenda kumpongeza Mr. Chams na the overthrown Prezdaa kwa kuteuliwa
kuiwakilisha MIB katika bunge la katiba. Hongereni sana vijana
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages