Harusi ya Fidelis Edwin Lucio Njawa

5 views
Skip to first unread message

Humphrey Simba

unread,
Dec 31, 2012, 1:50:32 AM12/31/12
to mga...@googlegroups.com
Wapendwa,
Baada ya kikao cha jana tumejionea kuwa hali ni tata hivyo itatulazimu kuchagua mustakabali wa shughuli yetu. Kamati ya Ufundi ikiongozawa na Masai Boy imeanza kazi na ni matumaini yangu kuwa tutaweza kupata mpango mbadala wa kufanikisha shughuli yetu. Hii inamaanisha nini? Itabidi kufumua bajeti karibu yote na kisha kufuata tamaduni mpya za utendaji, yaani no overdoing, lakini bado watu waone ni kitu kizuri kabisa, itifaki zingine itabidi zifutwe na iwe full mitindo huru. Naamini kwa kidogo tulicho nacho tukisaidiwa na kamati ndogo tendaji yenye meno tutafanikiwa. Nimatumaini yangu idadi itabaki kuwa ni hii na watu watajitoa zaidi.
Nitafanya ziara fupi kesho jioni nyumbani changanyikeni ili tuyaone mabadiliko haya  kwa mapana. Mama Mark, tafadhali shuguhulikia kile kiasi cha Urafiki pindi tukikubaliana na mpango B.
Wenye michango zaidi juu ya hili milango iko wazi.
Ndimi Mwenyekiti wenu
Humphrey

--


"For hope is but the DREAM of those that wake"
LOVE, HOPE AND FAITH!

Joseph Simba

unread,
Dec 31, 2012, 6:54:53 AM12/31/12
to mga...@googlegroups.com
Mbuya atakuletea 50,000/- ktk ule muendelezo wetu ulioanza na kiasi kama hicho...
 
Nawasilisha.

2012/12/31 Humphrey Simba <sim...@gmail.com>

Humphrey Simba

unread,
Dec 31, 2012, 7:08:21 AM12/31/12
to mga...@googlegroups.com
Asante sana

Saivoiye, Martha

unread,
Dec 31, 2012, 9:52:51 AM12/31/12
to mga...@googlegroups.com
Asante sana!!!

noela njawa

unread,
Dec 31, 2012, 12:40:19 PM12/31/12
to mga...@googlegroups.com
Asante, tuko pamoja.

Noela. (mjumbe)

--- On Sun, 12/30/12, Humphrey Simba <sim...@gmail.com> wrote:
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages