Tena huu utaratibu wa kuchangia 3rd parties ndo unanichosa kabisa.. personally sichangii kwa kweli and I hv made it clear to my colleagues here in the office..
Kuna wale washkaji wengine ukute ulipotezana nao tangu kitambo bt wakiwa kwenye haka kamchakato wanaanza kujibaraguza kwa kuchat chat. Ukikolea tu anakuchomekea, ooh! nimegundua nyie mliooa mnafaidi sana so na mimi nimekata shauri, naomba uniunge mkono.. Na mara nyingi zinakuwaga in a very short notice..
Worst, still kuna upuuzi wa kuanza kuchangishana hadi shughuli za kipaimara, komunio, graduation na hata birthday, kudadadeki.. Tunaelekea wapi penye apa wajameni?????