---------- Forwarded message ----------
From: "Katulanda Frederick" <
fkatu...@gmail.com>
Date: 8 May 2013 13:45
Subject: [Mabadiliko] CHEKA KIDOGO: KALALE HUKOHUKO ULIKOKUWA
To: "mabadilikotanzania" <
mabadilik...@googlegroups.com>
Cc:
Waifu kaenda kikao cha harusi, pombe zikamnogea kuja
kushtuka ishakuwa saa sita usiku. Akarudi kwake kichwani anawaza ataingiaje
kwake? Akapata njia...................
MKE: Hodi mume wangu
MUME: Unaniona mie Bushoke sana, sifungui, rudi huko
ulikokuwa kalale huko huko
MKE: Mie sikuwa nimekuja kulala, nilikuja kuchukua kondom
ziko kwenye pochi yangu juu ya kabati, kuna wanaume kibao nimewaacha kule,
lazima mtu uwe na kondom nyingi
MUME: Pumbavu mlevi mkubwa, ingia ndani huendi popote shenzi
--
'Walk The Talk'
Frederick M. Katulanda
Cell:
+255 784 642620,
Alternative:
+255 754 642620
E-mail:
fkatu...@yahoo.com
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
mabadilik...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda;
mabadilikotanza...@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
mabadilikotanza...@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.