Ze is away

11 views
Skip to first unread message

Humphrey Simba

unread,
Apr 9, 2013, 3:04:03 PM4/9/13
to mga...@googlegroups.com
Wapendwa,
I will away for few days, will in Joburg until 19th April, during that
time Nangasu will be my backup.
Mbelu plz proceed with our mission and shall the be anything do not
hesitate to contact the classic Nangasu or my self via email.
Stay blessed.
Ze!

--


"For hope is but the DREAM of those that wake"
LOVE, HOPE AND FAITH!

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 10, 2013, 12:40:47 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com
Wow!

Safari njema na enjoy. Tume picha pleeease

Classsiiiiiiccc mambo?

Martha Saivoiye
Associate
Corporate Affairs & Communications

+255 22 216 6600
martha....@jti.com
 
Tanzania Cigarette Company Ltd
A member of the JTI Group of Companies
20 Nyerere Road, P.O. Box 40114, Dar es Salaam

jti.com
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mgaiwa" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mgaiwa+un...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




mya...@gmail.com

unread,
Apr 10, 2013, 1:42:42 AM4/10/13
to Mgaiwa Family
Classic naye yupo kwa group mail?




Sent from BlackBerry® smartphone

Humphrey Simba

unread,
Apr 10, 2013, 5:47:13 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com
Asante, have arrived here safely and m now in the office..the feeling is exciting..

Humphrey Simba

unread,
Apr 10, 2013, 5:47:39 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com
Classic hayupo, ngoja nimtumie mwaliko aingie

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 10, 2013, 5:55:17 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com

Pichaaaaaaaaaaaa

 

Martha Saivoiye

Associate

Corporate Affairs & Communications

 

+255 22 216 6600

martha....@jti.com

                                                                                                                                                 

Tanzania Cigarette Company Ltd

A member of the JTI Group of Companies

20 Nyerere Road, P.O. Box 40114, Dar es Salaam

 

jti.com

 

Joseph Simba

unread,
Apr 10, 2013, 5:59:03 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com
Kikawaida kawaida tungesema pole na safari, bt I'd say hongera kwa safari coz I blv u enjoyed every bit of it...

Humphrey Simba

unread,
Apr 10, 2013, 6:00:05 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com
Nimeacha camera kwenye apartment..will send some..worry not darling sister..
Mbelu zoezi la makazi ni uhai..

On Wed, Apr 10, 2013 at 12:55 PM, Saivoiye, Martha <Martha....@jti.com> wrote:

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 10, 2013, 6:10:04 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com

Pole, hongera, enjoy, work and play hard.

Haya pleeeasee pichaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 

Martha Saivoiye

Associate

Corporate Affairs & Communications

 

+255 22 216 6600

martha....@jti.com

                                                                                                                                                 

Tanzania Cigarette Company Ltd

A member of the JTI Group of Companies

20 Nyerere Road, P.O. Box 40114, Dar es Salaam

 

jti.com

 

Humphrey Simba

unread,
Apr 10, 2013, 6:10:41 AM4/10/13
to mga...@googlegroups.com
dah we are far behind..it all started at the airport..we have a long way..kweli nipe hongera..tembea uone

Joseph Simba

unread,
Apr 15, 2013, 4:08:04 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
Ze hujatu-update za huko 4 smtym nw.. Hopefully ile kamera uliipata, heheheeeee...
 
Cheerz!!

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 4:30:32 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com



hahahaaaaa.. Ze yuko poa, kamera anayo, hapo ndipo anapoishi.. Je kuna mwenye swali???? Hiyo ni kitchen na living room, its an open kitchen.. maswali tafadhali, Darling Sister baelezee kale kabafu kale.. na hicho ndio chakula, ona mate sasa yalivyowajaaa..uwiiiiiiiiiiiiiii
Ze!
SAM_1110.JPG
SAM_1111.JPG
SAM_1112.JPG
SAM_1124.JPG

mya...@gmail.com

unread,
Apr 15, 2013, 4:37:13 AM4/15/13
to Mgaiwa Family
....hiyo picha ya kwanza haifunguki.

Sent from BlackBerry® smartphone

From: Humphrey Simba <sim...@gmail.com>
Date: Mon, 15 Apr 2013 11:30:32 +0300
Subject: Fwd: Ze is away

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 4:44:54 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
SAM_1108.JPG
SAM_1109.JPG
SAM_1110.JPG

Joseph Simba

unread,
Apr 15, 2013, 5:14:58 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

@ Ze: Kwa mwendo huu nachelea ucje "ukahamia airtel" kama c dijitali ukaachana na hii analogi yetu huku.. Paukweliiii!! Utadhania ile nyumba yule dalali alimtafutia yule boss maeneo ya kijitonyama..... (kwenye tangazo ya airtel)
 
@Myanga: Ngoja nikurushie ufunguo kwenye airtel money uifungue hyo picha... (just kidding)
 
@Darling Sister: Mipicha hyo bwerereeeee!!!!!!!!!

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 5:19:21 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
Sebule kama ikulu, ina vyumba viwili kama tulivyikubaliana????? ah hapana boss ila kuna washing machine ndani.......................
Haaaahaaaa.. kaka wako mbele hawa jamaa, pale O R Tambo kwenyewe nilichoka, nimerudi jumamosi kuchange hela nikawa nawaza tu lini Dar itakuwa vile....Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Joseph Simba

unread,
Apr 15, 2013, 5:55:30 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
Hao sio wenzetu.. Huwa nasema at times hatupaswi kuwaza kuifikia New York/marekani or London/UK.. tukiwatazama wenzetu tu hapo bondeni inaweza kutupa homework ya kututosha mnooo!! Huwa nawaza pia hawa viongozi wetu wakienda huko hawajifunzi hata kidoncho???!!

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 5:58:32 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

Wenzetu kila kila kitu kinabaki ndani, hata hao wezi wao kama wapo wanawekeza ndani kwani ndio makampuni yakikuwa yanakuwa multinationals, sio kila siku kashfa tu, leo Waziri katoa leseni kwa Mantra wakati tunawadai zaidi ya Bilioni Mia tatu, hapo tumejenga KM ngapi za barabara??? Umeona report ya CAG zaidi ya Bilioni 600 hazijulikani nani kazitumia wapi, sijui ni hospitali ngapi hizo..
Ohh Nchi yangu..dah

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 15, 2013, 6:07:09 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

Sijui natamani zaidi huo mjengo au hao wadudu?

Daaah

 

From: mga...@googlegroups.com [mailto:mga...@googlegroups.com] On Behalf Of Humphrey Simba
Sent: Monday, April 15, 2013 11:31 AM
To: mga...@googlegroups.com
Subject: Fwd: Ze is away

 

 

mya...@gmail.com

unread,
Apr 15, 2013, 6:09:47 AM4/15/13
to Mgaiwa Family
Safari bado ni ndefu fikiria karne hii wagonjwa wanalala wanne wanne. Kununua vitanda tu tunasubiri mwekezaji? Tanzania inaliwa na wenye meno!



Sent from BlackBerry® smartphone

From: Humphrey Simba <sim...@gmail.com>
Date: Mon, 15 Apr 2013 12:58:32 +0300
Subject: Re: Fwd: Ze is away

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 6:09:54 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
Hahahahaaa.. Wadudu????

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 15, 2013, 6:10:51 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

Prawns . . .. udenda ajeeeee

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 15, 2013, 6:13:38 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

Halafu CAG akitoa hizi report, nini hufuata?

 


Sent: Monday, April 15, 2013 1:10 PM

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 6:15:19 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
they not just prawns, they are King Queen prawns.. nyakati zimekwenda wapi.. wako wapi waleee, Jose anawajua...waliotutusi na mabegi yetu mgongoni..wakati wao wanawaza kuzamia huku, wengine wanaletwa huku..aiii.. ngoja nitafute namba ya Prof Muongo..sorry nani vile jina lake??

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 6:16:50 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
CAG akitoa kinachofuata ni kupingana Bungeni, kutumia muda mwingi kubeza wapinzani na kusifia CCCM...

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 15, 2013, 6:17:38 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

In short no one will be held accountable?

Humphrey Simba

unread,
Apr 15, 2013, 6:20:12 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
We ushawahi ona anayewajibika??

Joseph Simba

unread,
Apr 15, 2013, 6:22:47 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
hahahaaaaa!! Ze, umenigusa mtima.. enzi hizo za kuitwa majina meeengiii mara john kisomo, mara vile.. Dah! kama c kucmama imara huenda tungekuwa tunagongea fegi mida hii kama c  cha ukucha... Mungu wetu ni mwema sana kwa kweli...
 
Basically CAG is nothing but a toothless dog. I however, like the fact that he exposes these things huenda cku ikafika zikafanyiwa kazi vngnevyo angekuwa anavificha ingekuwa even worse.

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 15, 2013, 6:24:30 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com

Nimeona zugarings chache,

Mramba, Kiula etc

mya...@gmail.com

unread,
Apr 15, 2013, 6:36:09 AM4/15/13
to Mgaiwa Family
Na huyu wa juzi tu aliiba pesa za safari za rais imeishia kuhamishwa hakuna charges zozote zile!



Sent from BlackBerry® smartphone

From: "Saivoiye, Martha" <Martha....@jti.com>
Date: Mon, 15 Apr 2013 10:24:30 +0000
Subject: RE: Ze is away

Joseph Simba

unread,
Apr 15, 2013, 7:02:23 AM4/15/13
to mga...@googlegroups.com
Cha msingi ukiiba inabidi upige kikweliii ili hata yakibumbuluka uwe na kitu cha kugawana nao.. Ila ukipga cju laki, laki mbili lazima wakufunge...

Humphrey Simba

unread,
Apr 17, 2013, 8:02:56 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com
Wapendwa,
Uzima upo????

On Mon, Apr 15, 2013 at 11:08 AM, Joseph Simba <joseph....@googlemail.com> wrote:
SAM_1097.JPG

Humphrey Simba

unread,
Apr 17, 2013, 8:55:43 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com
hamna photo point hapo, unadhani kama unafika Akaman's na kula prawns inakuwaje? hakuna vumbi wala pepeta..sema pindi nituapo bongo.....imagine hata ile kitu inafanyaga miguu kuwasha kushne

On Wed, Apr 17, 2013 at 3:52 PM, Joseph Simba <joseph....@googlemail.com> wrote:
Uzima upo mwingi tu Bro! Hiv hiyo picha kusema foto pointi au? Maana naona cku chache tu umeshakuwa bebi fesi....

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 17, 2013, 9:14:04 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com

Kwa mwendo huu phd yanukia! Haki ya mama vile!!

 

Martha Saivoiye

Associate

Corporate Affairs & Communications

 

+255 22 216 6600

martha....@jti.com

                                                                                                                                                 

Tanzania Cigarette Company Ltd

A member of the JTI Group of Companies

20 Nyerere Road, P.O. Box 40114, Dar es Salaam

 

jti.com

 

From: mga...@googlegroups.com [mailto:mga...@googlegroups.com] On Behalf Of Humphrey Simba
Sent: Wednesday, April 17, 2013 4:09 PM
To: mga...@googlegroups.com
Subject: Re: Ze is away

 

hahahaaaaa..

Darling sister banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, check for more, kamwe usiache elimu ikaenda zake hata ukiwa ughaibuni, cheki Ze hapo anakula desa nchi ya watu...

On Wed, Apr 17, 2013 at 3:54 PM, Saivoiye, Martha <Martha....@jti.com> wrote:

Umeona eeeenh?????

Yaani my brothers ze wadhuli wadhuliiiiiii

 

Martha Saivoiye

Associate

Corporate Affairs & Communications

 

+255 22 216 6600

martha....@jti.com

                                                                                                                                                 

Tanzania Cigarette Company Ltd

A member of the JTI Group of Companies

20 Nyerere Road, P.O. Box 40114, Dar es Salaam

 

jti.com

 

From: mga...@googlegroups.com [mailto:mga...@googlegroups.com] On Behalf Of Joseph Simba
Sent: Wednesday, April 17, 2013 3:52 PM


To: mga...@googlegroups.com
Subject: Re: Ze is away

 

Uzima upo mwingi tu Bro! Hiv hiyo picha kusema foto pointi au? Maana naona cku chache tu umeshakuwa bebi fesi....

Humphrey Simba

unread,
Apr 17, 2013, 9:25:33 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com
Phd ni baada ya kuleta mjomba/ wajomba duniani.... sasa niko kifamilia zaidi..
Mbelu, zoezi langu linaendelea kweli au out of sight out of mind????
Salaam
Ze!

Joseph Simba

unread,
Apr 17, 2013, 8:52:22 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com
Uzima upo mwingi tu Bro! Hiv hiyo picha kusema foto pointi au? Maana naona cku chache tu umeshakuwa bebi fesi....


 

Saivoiye, Martha

unread,
Apr 17, 2013, 8:54:01 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com

Umeona eeeenh?????

Yaani my brothers ze wadhuli wadhuliiiiiii

 

Martha Saivoiye

Associate

Corporate Affairs & Communications

 

+255 22 216 6600

martha....@jti.com

                                                                                                                                                 

Tanzania Cigarette Company Ltd

A member of the JTI Group of Companies

20 Nyerere Road, P.O. Box 40114, Dar es Salaam

 

jti.com

 

Humphrey Simba

unread,
Apr 17, 2013, 9:08:41 AM4/17/13
to mga...@googlegroups.com
hahahaaaaa..
Darling sister banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, check for more, kamwe usiache elimu ikaenda zake hata ukiwa ughaibuni, cheki Ze hapo anakula desa nchi ya watu...

SAM_1165.JPG
SAM_1166.JPG
SAM_1187.JPG

Joseph Simba

unread,
Apr 19, 2013, 3:00:25 AM4/19/13
to mga...@googlegroups.com
Hello Bro!!! Aje aje paleee!!!

Humphrey Simba

unread,
Apr 19, 2013, 3:22:54 AM4/19/13
to mga...@googlegroups.com
hey tsup brother,
I am doing well, last day in SA..
Ni aje pale???

Joseph Simba

unread,
Apr 19, 2013, 4:27:33 AM4/19/13
to mga...@googlegroups.com
Huku tuko poa, tunazidi kuboreka na hili bunge letu la spika Makinda..

Humphrey Simba

unread,
Apr 19, 2013, 4:40:38 AM4/19/13
to mga...@googlegroups.com
hahaaaaaaaaaaaaaaa, nazipata naona watu wanaongea hadi matusi ya kwenye movie........dah wakati DSTV wanaminya hata shiiiiiiiiiiiiiitttttttttttttttttt.. Bungeni wanapiga F**K you meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnnnnnnnnnn, Gerareeeeee hereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Joseph Simba

unread,
Apr 19, 2013, 5:14:46 AM4/19/13
to mga...@googlegroups.com
We acha tu, hiyo inaitwa mwenye nguvu mpishe.. Jana Mdee akichangia hoja flan hivi on budget allocation akamalizia  kwa kusema "..hili ni chaka la ulaji wa pesa...." bac makinda akamkomalia kuwa katumia lugha mbaya wkt huyo aliyetukana walijifanya hawajackia... 
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages