Shukrani madam secretary,
Pamoja na kilicholetwa sasa, tuangalie na ile document ambayo tuliifanyia kazi wiki iliyopita. Kila mmoja aweke inputs zake tuone nini tunaweza kujadili kesho.
Zaidi, mkipata muda, mnaweza kupitia na hii iliyotumwa leo na kuifanyia kazi kwa maana yakuweka inputs ama kuipa ni nini wewe imunadhani kingefaa under the named topic or issue.
Zaidi, ningeomba kila mmoja wetu afanyie kazi hizi documents, hata kama ikitokea umeshindwa kuja kwenye kikao lakini angalu mchango Wako uonekane.
Tujitahidi kufika kesho.
Nawasilisha!!!