You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to
Habari za Leo waungwana?
Leo nimeamka nikiwa na hamu ya kujifunza ufugaji wa samaki. Katika pitapita zangu mtandaoni, nimekutana na nyaraka hii ambayi nimeambatanisha na barua pepe hii..
Pia, nimeweka baadhi ya link ambazo nimeona zitahusika zaidi katika ukurasa wangu wa Facebook na pia tweeter (wlfwilley).