CHUO CHA MAJI NA GIZ WA ANDAA SIKU YA WASICHANA KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

1 view
Skip to first unread message

Christopher Mfinanga

unread,
May 9, 2015, 5:32:14 AM5/9/15
to MUHIDIN MICHUZI, roka...@gmail.com, MAELEZO, selemani mpochi, guardian...@gmail.com, Picha HabariLeo, Cathbert Kajuna, Habari Leo, khalfa...@yahoo.com, jambone...@yahoo.com, Jambo London, Info Raia mwema, mat...@googlegroups.com, regine....@giz.de
Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha maji Profesa Gabriel Kassenga akimkabidhi zawadi  Ashura Makwaya ambaye amekuwa mshindi katika masomo ya utatafiti wa maji mwaka wa pili katikati ni Mwakilishi wa shirikaka la maendeleo la ujerumani hapa Nnchini (GIZ) Dr Regine Qualmann ambao ndiyo wanadhamini kampeni ya kuhamasisha Wasichana kupenda masomo ya Sayansi kulia kwake ni Mkurugenzi wa mafunzo chuo cha Maji Dr Yona Kimori sherehe hiyo ya siku moja ziliwashirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali katika kuhamasisha wasichana kupenda masomo ya sayansi hapa nchini Picha na Chris Mfinanga

Badhii ya washindi wengine wakiwa na viongozi wa chuo na wageni waalikwa
DSC_0432.JPG
DSC_0433.JPG
DSC_0434.JPG
DSC_0431.JPG
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages