SILAHA ZASALIMISHWA PWANI

1 view
Skip to first unread message

Bernard Komba

unread,
Nov 23, 2021, 7:52:28 AM11/23/21
to rfa radio, Bernad Komba, matukio, Amina Chekanae, kissfm...@gmail.com, Abdul Diallo

Ben Komba/Pwani-Tanzania/23-11-2021

Agizo lililotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, GEORGE  SIMBACHAWENE akiwtaka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha Sheria kuzisalimisha silaha zao limeanza kupata mafanikio Mkoa wa Pwani, Baada ya Jeshi la Polisi kupokea Silaha  kutoka wamiliki wasio halali.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi, WANKYO NYIGESA amesema Silaha Zilizosalimishwa ni Magobore 21, Pistol 1 na risasi 7, rifle 2 na risasi 40 ikiwa ni kipindi cha siku 22 toka kutolewa agizo hilo.

 

Ameongeza Silaha hizo zimesalimishwa katika kituo cha Polisi Bagamoyo na Kituo cha Polisi Chalinze.

Amewahimiza wananchi kwa muda wa siku saba uliobaki kuzisalimisha silaha wanazomiliki kinyume na taratibu.

 

END


Virus-free. www.avast.com
RPC NYIGESA-PWANI.mp3

Bernard Komba

unread,
Nov 23, 2021, 12:42:55 PM11/23/21
to mat...@googlegroups.com
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages