Nitoe

0 views
Skip to first unread message

william Jotham

unread,
Aug 28, 2012, 2:33:45 AM8/28/12
to mat...@googlegroups.com
Ndugu mratibu wa hii matukio google groups, naomba sana unitoe kwenye list yenu sitaki kutumiwa message zenu.

tafadhali sana nitoeni maana e mail yangu ina issues za muhimu sasa inakuwa inajaa e mail message zenu ambazo kwangu hazina tija yoyote

Asante sana

arnold elly

unread,
Aug 28, 2012, 3:40:34 AM8/28/12
to mat...@googlegroups.com
hata mimi ndugu yangu hizi mail zinakuja kwangu km kwako...mm si mratibu wa hii maneno

Da: william Jotham <willj...@yahoo.com>
A: mat...@googlegroups.com
Inviato: Martedì 28 Agosto 2012 8:33
Oggetto: Nitoe
Ndugu mratibu wa hii matukio google groups, naomba sana unitoe kwenye list yenu sitaki kutumiwa message zenu.

tafadhali sana nitoeni maana e mail yangu ina issues za muhimu sasa inakuwa inajaa e mail message zenu ambazo kwangu hazina tija yoyote

Asante sana
-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "matukio" group. To post to this group, send email to mat...@googlegroups.com To unsubscribe from this group, send email to matukio+u...@googlegroups.com For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/matukio?hl=en   FOR MORE NEWS: http://www.dullonet.com/ FOR VACANCIES: http://dullonet-jobcenter.blogspot.com/ FOR EVENT PIX : http://www.dullonettanzania.blogspot.com/
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages