RAIS SAMIA KUZINDUA KIWANDA PWANI

0 views
Skip to first unread message

Bernard Komba

unread,
Dec 2, 2021, 10:16:07 AM12/2/21
to rfa radio, Bernad Komba, matukio, kissfm...@gmail.com

Ben Komba/Pwani-Tanzania2-12-2021

Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kufanya ziara ya siku katika Mkoa wa Pwani kuzindua kiwanda kinachotengeneza waya zinazotumika katika mtandao wa mawasiliano za fiber optics kilichopo wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.

 

Mkuu wa Pwani, BW. ABUBAKAR KUNENGE amesema kuwa ziara hiyo ni heshima kubwa kwa Mkoa wa Pwani na hasa ikizingatiwa Rais ana kazi nyingi za kufanya lakini amejitoa kuunga mkono kauli mbiu ya Pwani ya Viwanda inawezekana.

 

Hivyo amechukua fursa hiyo kuwataka wananchi Mkoa wa Pwani kujitokeza kwa wingi kumlaki na kusikiliza ujumbe utakaoletwa na Rais wa JamRuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN Kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya Mkoa wa Pwani.

 

END

RC KUNENGE.mp3
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages