PLEASE TAKE ME OFF YOUR MAILING LIST

0 views
Skip to first unread message

zuleikha

unread,
Oct 15, 2015, 2:07:41 PM10/15/15
to mat...@googlegroups.com


PLEASE TAKE ME OFF YOUR MAILING LIST
I HAVE REQUESTED THIS SEVERAL TIMES


------------------------------
On Thu, 15 Oct, 2015 1:57 AM PDT BERNARD KOMBA wrote:

>``
>Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/15/2015 6:56:17 AM
>
>Waandishi wa Habari nchini wametakiwa kuhoji baadhi ya Habari mbalimbali
>zinazotolewa na baadhi ya vyombo vya Habari katika kipindi hiki kuelekea
>uchaguzi ambazo zinaweza kusababisha uvinjifu wa amani.
>
>Mwezeshaji katika mafunzo ya waandishi wa Habari ambayo yameandaliwa na BBC
>MEDIA ACTION kuhusiana na uandishi wa Habari wenye kufuata maadili katika
> kuripoti Habari za uchaguzi ambayo yamefanyika mjini Dar es Saalam,
>BW.ATTILIO TAGALILE amesema kuwa vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti
>kuhusiana na mambo ambayo yanaweza kusababisha vurugu.
>
>BW.TAGALILE ameongeza kuwa kauli kama Goli la mkono au nitachukua nchi
>mapema asubuhi kwa kauli kama hizo ambazo jamii inazipata kupitia vyombo
>vya Habari na kutozifanyia kazi ikiwa pamoja na Tume ya uchaguzi na
>waandishi wa Habari wenyewe kwani walikuwa na wajibu wa kufuatilia ili
>kupata ufafanuzi jinsi gani wanaweza kutekeleza goli la mkono na vipi
>itawezekana ushindi mapema asubuhi.
>
>Hivyo amewaasa waandishi wa Habari kueppuyka kuandika Habari kama hizo na
>hasa ikizingatiwa Jumuiya ya kimataifa inafuatilia kwa karibu mchakato wa
>uchaguzi mkuu unavyoendelea, na iwapo ikitokea kukatokea vurugu waandishi,
>chanzo cha maneno hayo basi mahakama ya uhalifu ya kimataifa itawahusu, na
>kuwasisitizia kuwa makini na kuepuka matatizo kama yaliyomkuta mwandishi wa
>Kenya, NDG.ARAP SANG.
>
>Naye mshiriki wa mafunzo hayo, BI.SALMA MKALIBALA amewapongeza BBC MEDIA
>ACTION kwa kuweza kutoa mafunzo hayo ambayo kwa njia moja au nyingine
>yamemfumbua macho juu umakini kipindi cha kuripoti Habari za uchaguzi ili
>kuepuka kukiuka maadili ya taaluma.
>
>Mafunzo hayo ambayo yamejumuisha waandishi wa Habari kutoka mikoa ya
>Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga, na yaliandaliwa na BBC MEDIA ACTION na
>Baraza la Habari Tanzania.
>
>END.
>
>--
>--
>You received this message because you are subscribed to the Google
>Groups "matukio" group.
>To post to this group, send email to mat...@googlegroups.com
>To unsubscribe from this group, send email to
>matukio+u...@googlegroups.com
>For more options, visit this group at
>http://groups.google.com/group/matukio?hl=en
>
>FOR MORE NEWS: http://www.dullonet.com/
>FOR VACANCIES: http://dullonet-jobcenter.blogspot.com/
>FOR EVENT PIX : http://www.dullonettanzania.blogspot.com/
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "matukio" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to matukio+u...@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Bernard Komba

unread,
Oct 16, 2015, 5:55:58 AM10/16/15
to mat...@googlegroups.com
do it urself zuleikha read all page and you will see the option to I dont have any authority





>For more options, visit this group at
>http://groups.google.com/group/matukio?hl=en
>
>FOR MORE NEWS:  http://www.dullonet.com/
>FOR VACANCIES:  http://dullonet-jobcenter.blogspot.com/
>FOR EVENT PIX : http://www.dullonettanzania.blogspot.com/
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "matukio" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to matukio+unsub...@googlegroups.com.

>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "matukio" group.
To post to this group, send email to mat...@googlegroups.com
To unsubscribe from this group, send email to

For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/matukio?hl=en

FOR MORE NEWS:  http://www.dullonet.com/
FOR VACANCIES:  http://dullonet-jobcenter.blogspot.com/
FOR EVENT PIX : http://www.dullonettanzania.blogspot.com/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "matukio" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to matukio+unsub...@googlegroups.com.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages