MAKABAILA WANACHOCHEA MIGOGORO YA ARDI PWANI

4 views
Skip to first unread message

DID YOU KNOW?

unread,
May 28, 2020, 10:13:21 AM5/28/20
to Startvhabari, sibukam...@yahoo.com, matukio, Amina Chekanae, africatv, Abdul Diallo

 

Kushindwa kusimamiwa ipasavyo kwa mpango wa matumizi Bora ya ardhi, kumeongeza kasi ya uuzaji holela wa ardhi katika Tarafa ya Msoga Kata ya Tarawanda katika kijiji cha MAGULU MATALI, Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.

 

 

Radio Free Africa ikizungumza na Mwenyekiti wa Kijiji cha MAGULI MATALI, BW. MOHAMED ZIKATIMU, amesema kushindwa kutekelezeka kwa mpango huo kimekuwa chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi.

 

 Ameongeza kuwa wamekuwa wakipokea migogoro kadhaa hususan mmoja wa karibuni wa Kati ya wanakitongoji wa Kisambi na Mkazi mmojanwa wa MAGULI MATALI, Bi. KILUWA ambaye anadai kuwa eneo la kitingoji cha wafugaji Kisambi lilikuwa eneo la Baba ake na hivyi kuzua mtafaruku miongoni mwa wanakitongoji.

 

Hata hata hivyo ofisi yake inalifuatilia kwa karibu suala hilo ili kulipatia ufumbuzi wa mapema.

 

END.



Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages