Fwd: SERIKALI YATOA TAMKO MASHAMBULIZI YA WAFUGAJI DHIDI YA WAKULIMA PWANI

0 views
Skip to first unread message

Bernard Komba

unread,
Oct 28, 2021, 8:11:39 AM10/28/21
to matukio


 SERIKALI YATOA TAMKO MASHAMBULIZI YA WAFUGAJI DHIDI YA WAKULIMA PWANI
To: Bernad Komba <rfane...@yahoo.com>, rfa radio <rfanews...@gmail.com>, <mat...@googlegrpups.com>, Amina Chekanae <ache...@yahoo.com>, <kissfm...@gmail.com>


Ben Komba/Pwani-Tanzania/28-10-2021

Serikali Mkoa wa Pwani inafuatilia kwa karibu vitendo vya uvunjifu wa Amani kunakofanywa na jamii ya wafugaji katika Bonde la Mto Ruvu dhidi ya wakulima kufuatia mfululizo dhidi ya viongozi Chama cha Ushirika wa umwagiliaji Ruvu- CHAURU- uliopo katika halmashauri ya Chalinze Mkoani humo.

 

 

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa wiki ya CHAURU, Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, BW.ABUBAKAR KUNENGE, Katibu Tarafa Chalinze, BW. THOMAS MOLLEL amewaeleza katika Ushirika huo kuwa Serikali inafuatilia kwa karibu kushambuliwa viongozi na walinzi na watu wa jamii ya wafugaji wanaofanya uvamizi katika shamba hilo na kuharibu miundo mbinu ya umwagiliaji.

 

Amesema fedha nyingi zinatumika kukarabati miundombinu hiyo mara kwa mara kutokana na uharibifu unaofanywa na mifugo inayoingizwa katika shamba hilo linalochangia kwa kiasi kikubwa kwa uzalishaji wa mchele unaouzwa kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Saalam Dar es Saalam na Zanzibar kwa kulitambua hilo suala hilo kamwe macho kutokana na umuhimu wake.

 

END.

Thomas Mollel.mp3
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages