|
Voici le drapeau choisi par la "nouvelle République rwandaise" au Kivu
Voici le drapeau du Rwanda:
________
Ils ont cautionné la mort de 5 millions d'innocents, hommes ,des femmes et des enfants pour des postes
!
Elie-Desiree Atawale President of the United Republic of Kivu
Prime Minister, Minister for the Civil Service: Jean Lushindo - Deputy Prime Minister and First Secretary of State: Paul Kisindi
- Secretary of the Treasury: Pierre Kika - Chief Secretary to the Treasury: Sengi Katanga - Minister of the Economy: Pierre Butelezi - Minister Paymaster General: Safari Fifi - Minister Financial Secretary: Kabe Musa - Minister Economic Secretary: Schomba Likuta
- Governor of the Central Bank of Kivu: Mangovo Ngoyo - Deputy Governor of the Central Bank of Kivu: Mahombi Kitwanda
- Secretary of State for Foreign Affairs: Mangovo Ngoyo - Deputy Secretary of State for Foreign Affairs: Laurence Mbuguma -
Minister of State for Africa : Wamona Ngongo
- Secretary of State for the Home Department: David Mupenda - Minister for Public Works: Paul Ngongo - Minister for Religious Affairs: Mateso Kamango - Minister of Immigration: Marie Lolendo
- Secretary of State for Justice: Jacques Zihindwa - Minister of Law: Elena Mupepe - Minister of Constitutional Matters: Didier Bwetu - Leader of the House of Commons (United Republic of Kivu Parliament ): Jeanne
Kinsembe
- Secretary of State for Communities and Local Government: Boniface Mwenda - Minister for Women and Equality: Sara Ushindi - Minister for Family and Children:
Claire Furaha
- Secretary of State for Culture, Media: Ricard Mue - Minister of Public Communication: Paul Mulezi - Minister of Culture, Costumes and Tradition: Asha Kivu - Minister of Information and Media: Jean Pierre Yalala
- Secretary of State for Defence: Louis Goma - Minister of State for Defence: Lutala Musa - Minister of Military Intelligence: Didie Mutumbi
- Secretary of State for Education and Skills: Edward Utukufu - Minister of Education: Muhindo Omba - Minister of Professional Skills: Bienvenu Mukenge
- Secretary of State for Environment, Food and Rural: Dunia Riziki - Minister of Environment: Laurent Bulabula - Minister of Food Produce: Elie Kamango -
Minister if Rural: Joseph Kikanda
- Secretary of State for Health: Fabien Murhula - Minister of Public Health: Phelie Lutala - Minister of Health Education:
Gustave Aliasi - Minister of Hospitals: Paul Shindano
- Secretary of State for International Development: Serge Ngongo - Minister of State for International Trade: Desire Kibamba
- Secretary of State for Trade and Industry: Jean Wabangwa - Minister of Energy: Marc Kipindi - Minister of Trade:
Philemon Tabu - Minister of Industry: Philip Kitwanda
- Secretary of State for Transport and Communications: Elise Mbuta - Minister of Transport: Kabe Safari - Minister of Telecommunications:
Jean Claude Muzuri
- Secretary of State for Work and Pensions: Julien Kibamba - Minister of Work: Ali Lutakala - Minister of Pensions: Joseph Loyenge
- Attorney General: Pierre Kindu - Supreme Court Judge: - Supreme Court Judge: - Supreme Court Judge: - Supreme Court
Judge: - Supreme Court
Judge: - Supreme Court Judge: - Supreme Court Judge:
Article Second. - The officials take possession of their official posts, and may exercise their functions according to the strategy of National security.
Given and signed in the Presidential Office, on the 5th day of the month of July in the year 2007.
Elie-Desiree Atawale President of the United Republic of Kivu
Jamhuri ya Muungano wa Kivu
Karibu kwenye huduma ya kituo cha kiulimwengu cha Web cha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Kivu
Kituo cha Web cha Jamhuri ya Muungano wa Kivu, kinatoa nafasi ya kupata habari za taifa lake la Kivu , Raia wake, muungo wake na pia habari zingine zozote, kwa ujumla, zinazohusika na inchi hiyo ya Jamhuri ya Muungano wa Kivu.
United Republic of Kivu
Welcome to the Government of United Republic of Kivu World Wide Web Service
The United Republic of Kivu World Wide Web Services provides public access to information about the Nation of Kivu, its People, Organizations and general information of the Country.
National Name: United Republic of Kivu / Jamhuri ya Muungano wa Kivu
President: Elie-Desire Atawale
Prime Minister:
Population: 7.649.000
Area: 256,803 sq km (Larger than the UK 242,900 sq km)
Major languages: Swahili (official Governmental), Amba, Bemba, Bembe, Bhele, Buyu, Fuliiru, Havu, Hunde, Joba, Kabwari, Kanu, Komo, Kwami, Lega-Mwenga, Lega-Shabunda, Mvuba, Nande, Nyanga, Nyindu, Rwanda, Shi, Songa, Swahili, Talinga-Bwisi, Tembo; are the National languages of
the United Republic of Kivu.
The Official Government Languages are Swahili and English being the official commercial language of the Republic for trade and international relations.
Life expectancy: 60 years (men), 65 years (women)
Main exports: Gold,Copper, Cassiterite, Coffee, Cobalt, Precious wood, Palm Oil, Crude Oil.
GNI per capita: US $120
International dialling code (provisional): +243
Capital and largest city: Bukavu
Other large cities: Goma, Beni, Kindu, Lubero, Rutshuru, Masisi, Walikale, Lubutu, Punia, Kasongo, Kabambare, Fizi, Uvira, Mwenga, Walungu, Kalehe, Bugarura, Shabunda, Pangi, Kibombo, Kabare
Monetary unit: 1 Panda = 100 cents
Major religions: African Spirituality andChristianity
Literacy rate: 66%
Economic summary: GDP/PPP $6.37 billion; per capita $800.
Real growth rate: 6.5%. Inflation: 9% (2004 est.).
Unemployment: n.a.
Arable land: 3%.
Agriculture: coffee, sugar, palm oil, rubber, tea, quinine, cassava (tapioca), bananas, root crops, corn, fruits; wood products.
Labour force: n.a.
Industries: mining (Gold, Cassiterite, copper, zinc), mineral processing, consumer products (including textiles, footwear, cigarettes, processed foods and beverages including beer), cement, commercial ship repair.
Natural resources: cobalt, copper, cadmium, petroleum, gold, silver, zinc, manganese, tin, germanium, bauxite, iron ore, coal, hydropower, timber.
Exports: $308 billion f.o.b. (2004 est.):, copper, crude oil, coffee, cobalt.
Imports: $519 billion f.o.b. (2004 est.): foodstuffs, mining and other machinery, transport equipment, fuels.
Major trading partners: Belgium , Finland , U.S. , South Africa , France , Zambia , Kenya , Germany (2004).
Communications: Telephones: main lines in use: 2,000 (2002); mobile cellular: 500.000 (2003). Radio broadcast stations: AM 1, FM 4, shortwave 1 (2001). Television broadcast stations: 1 (2001).
Internet hosts: 45 (2003). Internet users: 5,000 (2002).
Transportation: Highways: total: 27,000 km ; paved: n.a. unpaved: n.a. (1999 est.). Waterways: 1,300 km (2004).
Ports and harbors: Bukavu, Goma, Kindu and Kalundu.
Airports: 26 (2007).
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA KIVU
Jamhuri ya Muungano wa Kivu inakubaliana na vipengele vya thamani vya Katiba ya Kidemokrasia.
HAKI ZA KIBINAADAMU - Kuishi - Uhuru - Uhuru katika kupasha habari - Uhuru wa kuhutubia, kusema
SHERIA - Kutolewa au kutekelezwa kwa Sheria - Kulindwa na unyanyaso wa kutafutwa, na kunyanganywa mali - Utawala wa Sheria - Haki ya kuharikisha mashtaki ya Koti la Serikali na kuikomboa (remplacer) kwa njia ya kusambishwa na Raia wateule
WEMA KWA WOTE - Kutoa Usalama na Ulinzi - Kutoa mambo mema ya ujamii kwa wote
SERIKALI KIKATIBA - Haki ya jumla ya wengi kutoa maamzi katika siasa - Kuheshimu Utofauti - Sheria inalinda usawasawa wa raia wote bila upendeleo - Misaada ya ujamii inatolewa sawasawa kwa raia wote bila upendeleo - Haki za kuenda kwenye uchaguzi na kugombania Kiti au cheo - Usawasawa wa raia
wote katika kuomba kazi - Usawasawa wa raia wote kuhusu makao na nyumba
Jamhuri ya Muungano wa Kivu ni matunda ya siku nyingi ya mateso ya Watu wa Kivu kwa ajili ya ukombozi na Uhuru Mkuu wa Taifa na pia ulinzi wa mipaka za masultani wa kiasili wa makabila yake, na uhifadhi wa upekee wa mila yao, umoja wa historia yao, umoja wa Asili zao, na umoja wa Lugha yao ya Kiswahili.
Wanaonesha waziwazi nia yao ya kuishi kama watu huru, Wanazingatia haki yao na msimamo wao wa kutaka kuongoza na kuendesha mambo yao wenyewe.
Watu wa Kivu wanatambua umuhimu wa kufikilia kuendesha uchumi na maendeleo yao na kusimika Taifa lenye uhaki, wanaamua kukubaliana kutumia Katiba ifwaytayo:
KIPENGELE 4.- Amba, Bemba, Bembe, Bhele, Buyu, Fuliiru, Havu, Hunde, Joba, Kabwari, Kanu, Komo, Kwami, Lega-Mwenga, Lega-Shabunda, Mvuba, Nande, Nyanga, Nyindu, Rwanda, Shi, Songa, Swahili, Talinga-Bwisi, Tembo; ndizo lugha za kitaifa za Jamhuri ya Muungano wa Kivu.
KIPENGELE 38.- Raisi wa Jamhuri ndiye Kichwa cha Taifa na Kamanda Mkuu wa Majeshi, ila si Kamanda wa Polisi ya Taifa, kwa kuwa Polisi ni kiungo huru mbali na Serikali.
Jukumu kuu la Raisi ni kuchunga utekekezaji wa Katiba (Constitution) na umoja wa Taifa nzima, na kuhakikisha Kivu nzima ina vifaa vyote vya kujipigania na kulinda Raia wake.
KIPENGELE 86.- Mamlaka ya Asili ya Mila (Kutoka kwa mababu): Mamlaka ya Asili ya Mila yanatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Kivu, kufuatana na Asili za mahali, ikiwa hazitapingana na Katiba ya Umoja, Sheria zake, Usalama wa Raia, vifungo vya Haki za kibinaadamu, na misingi ya uhuru. Kila Sultani anaalikwa kushiriki ndani ya uongozi mzuri wa Taifa na anaalikwa kupata Kiti katika Baraza kuu la Watambo (Masultani) wa Muungano wa Kivu.
Baraza Kuu la Watambo wa Muungano wa Kivu ni chumba kikuu cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Kivu, ambalo laitwa kwa kawaida “Baraza Kuu”. Raisi wa Jamhuri, Baraza la Wabunge na Baraza Kuu pamoja, vyaunda Ubunge wa Kivu. Viti vya Baraza Kuu ni kimoja kwa kila usultani, Vinaongezwa na viti vingine 12 vya ziada (Extra) vinavyopewa kwa watu Waheshimiwa Wazaliwa wa Kivu ambao walitambuliwa kuwa wamefanya mambo mengi mazuri kwa Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Kivu.
Viti vya Baraza la Wabunge (Chumba Kidogo) vyachukuliwa na Raia wa inchi walioteuliwa katika uchaguzi Mkuu huru wa kidemokrasia kwa jumla.
Cheo kamili rasmi cha Baraza Kuu ni “Waheshimiwa wakuu Masultani kiasili na wa muda wa Jamhuri ya Muungano wa Kivu wakiwa wa Baraza la Bunge.
Cheo kamili na rasmi cha wanamemba wa Baraza Kuu ni Waheshimiwa Wakuu X wa Y. Kwa mfano: Mwami Mopipi wa Shabunda. Ni kusema X=Mwami Mopipi, Y=Wa Shabunda.
Watambo ambao ni Washauri wa kipekee (Privy Counsellors) watapewa cheo chao kama WW. Washauri wa kipekee wote wanapewa cheo chao “Waheshimiwa Wakuu”.
KIAPO CHA WABUNGE
“Mimi..., naapa kwa Mungu Mwenyezi kuwa nitaiheshimu Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Kivu na kumuomba Mungu anisaidie na kuniongoza kwenye Katiba hii kwa kuilinda. Nitajitoa kwa nguvu zangu zote kutimiliza mapenzi ya watu walio na kiu cha uhuru, walio na kiu cha kujitawala na kiu cha uhaki. Nitalinda Haki na Uhuru wa Raia wote. Nitafunika na kuhifadhi umoja wa Udongo wa Kivu. Nitatumikia Maendeleo na Uheri wa watu wa Kivu, kupigania na kuinua thamani ya mila zao tukufu za Taifa la Kivu , Mungu, uwe Shahidi wangu”.
WIMBO WA TAIFA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA KIVU
Eh Kivu Tukufu! Nina heri kuwa Raia
wako
Uzuri wa Ardhi yako, Ziwa zako, Milima yako, na Mito yako Siku zote vyanilisha na Furaha Na Matumaini
Eh Kivu wewe u Mzazi Watoto wako,
Watukufu Umoja wako ni siri ya Nguvu
zako Watu wako wanakupenda Wataendelea kukutetea
Raia wa Kivu Uhusiano kati
yetu Wabaki mwema daima Ushirika kati yetu Watufanikisha daima Upendo na Umoja kati yetu Daima tutashinda adui zetu
Eh Kivu wastahili Amani!
WITO MKUU KWA KILA MWANAUME NA MWANAMKE MTOTO WA KIVU KUJIUNGA NASI KATIKA KUPIGANA VITA
Kivu iliyodhulumiwa, Kivu iliyovunjwa, Kivu iliyokuwa katika dhiki, lakini sasa Kivu ni huru. Ilijikomboa yenyewe, ilikombolewa na Raia wake. Kwa msaada wa kila Mtoto wa Kivu, kwa njia ya Mkivu yeyote mpigana vita. Kivu ya kweli, Kivu isyozimika.
Mimi Elie-Desire Atawale, nasema saa hii nikiwa hapa ndani ya inchi ya Kivu, nawaalika ninyi wanaume na wanawake wote wa Kivu, ninyi mulio hapa kwenye udongo wa asili wa Kivu, na ninyi mulio nje ya Kivu, njoni mujiunge nasi.
Haidhuru
yanayoweza kutokea, mwali wa moto wa upinzani wa Kivu hautazimika.
Kwa niaba ya Kivu
nayafanya matangazo rasmi haya: Ni wajibu wa roho ya kitaifa, kwa kila Mtoto wa Kivu kuchukua silaha na kuendeleza harakati za ukombozi wa Taifa letu.
Maana kushusha silaha chini au kutoroka kampi muhimu ya kijeshi, au kukubaliana kuipana sehemu yoyote ya udongo wa Kivu, au kutoa kitu chochote hata kingekua kidogo, na kukubali kiwe chini ya utawala wa Adui wetu RDC, ni usaliti na dhambi kubwa zidi ya Taifa letu.
Ninawatangazia Watoto wote wa Kivu, njoni mujiunge nami, tuizunguke Serikali yetu mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Kivu, ambayo tu ndilo jukua la pekee linalounganisha Taifa la Kivu , na tuendelee na harakati zetu za vita zidi ya Adui Mshambulizi wetu RDC.
Ninyi wanajeshi wote wa Kivu, Simameni!
Uvamizi wa RDC juu ya Inchi yetu umewafanya Raia wetu kushushwa sana kwa kiwango cha nusu-mutu na kutufanya kuwa chombo cha Utumwa.
Tangu leo watoto wa Kivu wamekataa kukubali uvamizi haramu wa majeshi na utumwa
wa RDC kwa sababu zifuatazo:
Heshima, Kusudi la umoja, na Faida za Taifa la Kivu.
Kusu di la umoja, kwa kuwa ni upumbafu kukubali kuwa nguvu zetu hazifai.
Kwa Faida za Taifa la Kivu , ilikuwa vema vita ifanyike na iwe tu hiyo vita moja kama ilivyokusudiwa
Mwisho wa vita hii utaonyesha nguvu za Uhuru zimeshinda hizo nguvu za Utumwa.
Heshima, Kusudi la Umoja na faida za Taifa la Kivu vyaagiza ya kwamba ni lazima kila Mtoto wa Kivu aendelee na vita kwa njia iliyo bora zaidi.
Ni lazima kukusanya zaidi nguvu ya watoto wa kivu iliyo kuu kupita kama iwezekanavyo.
Ninawaalika Watoto wa Kivu wote waliyo katika ukimbizi, na wale wanaopatikana katika inchi za kigeni, walioko Ulaya na katika sehemu nyigine zote za dunia, warudi Kivu na wajiunge nami.
Hakuna upendo mwingine mkuu kwa Mtoto wa Kivu kama upendo wa Kiraia, Upendo wa Taifa la Kivu.
Ninawaaalika Wasomi wote wototo wa Kivu wajiunge
nami, na iwe njia ya kutumia maarifa yenu kwa manufaa na faida za Taifa, na wana wetu, siku zinazokuja watatushukuru.
Njia yoyote ambayo yawezakuwa na uwezo wa kijeshi na utowaji wa silaha, lazima itunzwe vema popte pale ilipo.
Ninawaalika Watoto wote wa Kivu wote walio na shauku ya kupata uhuru waisikilize sauti yangu na wanifuate.
Ni jambo la ukweli lililo wazi kuwa sisi tunadhulumiwa na kuteswa na Majeshi Adui zetu ya RDC. Lakini, je, hilo laweza kuwa neno la mwisho lililosemwa? Je, tupoteze matumaini yote? Je, huko kuvamia udongo wetu kiharamu na RDC, ni mwisho wa mambo ambayo hayawezi kupinduliwa? Kwa maswali haya yote, jibu langu ni, HAPANA
Nikiwa na maarifa ya mambo haya, nawaambieni, Kivu itapata ushindi katika vita vyake. Yale yaliyosababisha uvamizi wa inchi yetu ni yaleyale mambo ambayo, sasa, lazima yatuongoze katika ushindi.
Watoto wa Kivu, jueni haya, Kivu haiendi peke yake, Kivu haitengwi na
ulimwengu.
Tayari Kivu iko huru kwenye nyanja za mataifa mengine na hata haya mataifa mengine yanatutambua na kutukubali, sababu sisi nasi tupo tayari sehemu ya jamii kama mataifa mengine huru kwenye uso wa dunia.
Shirika la mataifa yote ulimwenguni na viungo vya maserikali ya kigeni wapo tayari kwa kuisaidia Kivu ichukue Uhuru wake, wakitambua bidii na kujitolea kwa raia wa Kivu anavyochukua silaha kwa kupigania Uhuru wake, Uhuru wa watu wake, Uhuru wa ufanisi wa jamaa lake na wa wazazi wake.
Nyuma ya uwezo wenye nguvu wa upinzani wa Kivu, kuna Milki au utawala mkubwa, na Kivu inaungana na Milki hii kwa ajili ya faida ya umoja.
Enyi Watoto wa Kivu, njoni mujiunge nami. Tutawaongoza katika njia itakayotuelekeza kwenye Ukombozi.
Kivu iishi milele! Kivu iishi huru katika Heshima na Kujitegemea
KIVU CITIZENSHIP OATH AND PLEDGE
The form of citizenship oath and pledge is as follows for registration of or naturalisation as a Kivu citizen:
OATH
"I, [name], swear by Almighty God that, on becoming a Kivu citizen, I will be faithful and bear true allegiance to the United Republic of Kivu, and its legitimate Democratically and Constitutionally elected Government according to law."
PLEDGE
"I will give my loyalty to the United Republic of Kivu and respect its rights and freedoms. I will uphold its democratic values. I will observe its laws faithfully and fulfil my duties and obligations as a Kivu citizen." |