Lucky
unread,Nov 16, 2010, 2:07:06 PM11/16/10Sign in to reply to author
Sign in to forward
You do not have permission to delete messages in this group
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to Lux.mund
Ujasiriamali kwa maelezo yangu, ni uwezo wa mtu fulani kuweza
kuwashawishi watu wengine waweze kuvutiwa na jambo fulani mtu
alifanyalo kwa lengo la kumpatia kipato. Wakubaliana na maana yangu
hii ya ujasiriamali? Kwa nini?
Wapo waliotangulia kusema kuwa, ujasiriamali ili uwe ujasiriamali,
lazima nguzo muhimu tatu zihusishwe ambazo ni ubunifu, uboreshaji na
kujaribu (taking risk).
Hebu na tuwaze kwa pamoja, mwajiriwa naye ni mjasiriamali? (bila
kujali anafanya au hafanyi kazi ofisini, cha msingi ni kuwa
ameajiriwa). Kama ndiyo, kwanini? Na kama hapana, kwa nini?