You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to Lux.mund
Inawezekana wengi bado mnafanya re-adjustment ya makazi, kazi zenyewe,
na kadhalika. Tunahitaji kuwa wavumilivu, tusubiriane kwa subira kwa
kadri mmoja mmoja anavyojitokeza na kuhuisha mtandao huu. Muhimu sana,
ni kwamba HATUWEZI SOTE KUWA ACTIVE MUDA WOTE. Naamini bado wazo la
mtandao huu, li hai na linaendelea.
Mie, mambo yameanza kutulia, na nadhani ni mmoja katika wengi,
tunaoanza kurejea humu ndani.
Kuna hawa jamaa wa Uholanzi, wanatoa scholarship ya kozi fupi fupi na
za muda wa kati. Si mbaya kujaribu.