Nadhani mpo pouwa wazee wa lux mund. Sisi wazee wa kiraracha hatujambo kabisa.
Nawapongeza sana wazee kwa mada zenu zinazo2pa mwanga lukuki wa kimaisha. Ni
kweli sisi kama walimu ni uhai wa taifa lolote. Elimu ndiyo most powerful weapon
kwa maendeleo ya taifa lolote. Kama walimu wakiwa nyuma kiteknologia pia taifa
lina uwezekano wa kuwa nyuma pia. Hivyo sisi 2liyo na bahati ndogo ya matumizi
ya computer tuzitumie kama zipo katika maeneo ye2 ya kazi. 2siziache zijae
mavumbi tu kwani hilo silo lengo.