Albert Kissima
unread,Dec 31, 2010, 10:40:48 AM12/31/10Sign in to reply to author
Sign in to forward
You do not have permission to delete messages in this group
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to Lux.mund
Ndugu wanaLuxmund,
Napenda kutumia nafasi hii kuwatakia mwaka mpya mwema wenye baraka,
mafanikio tele, amani, upendo na umoja.
Tuzidi kuwa mwanga wa kweli katika kuifanya jamii yetu na watanzania
kwa ujumla kuweza kuyaona na kuyasimamia yale yote yaliyo na manufaa
na tija kwetu sote.
Mwaka 2011 uwe ni wa kasi zaidi, bidii zaidi, ubunifu zaidi na
mafanikio zaidi kwa wanajamvi na jamvi letu hili.
Niwatakie kila lenye kheri.