Wadau.
Kimekuwa kitambo kirefu sana tangu pawe na ukimya ambao sasa tunaweza
kusema ukimya wetu hauna tena kikomo japo wahenga walisema kimya kingi
kina mshindo.
Nimeona niwashirikishe hili tumaini jipya linalo waunganisha wana
Mwenge bila kujali itikadi au mitazamo yao. Bofya hapa
groups.google.com/group/mwengeforum pana mengi za kuvuna.
Wakatabahu.