Mpoo

0 views
Skip to first unread message

JOHN MKUMBWA

unread,
Nov 3, 2010, 3:15:57 AM11/3/10
to lux...@googlegroups.com
Jamani ukimya namna hii ni mbaya sana kwa maendeleo ya forum yetu... ila ni kwa nini na inawezekana kweli kwamba hamna lolote la kushirikishana!!!

albert kisima

unread,
Nov 3, 2010, 9:28:08 AM11/3/10
to lux...@googlegroups.com
Nipo kaka. Duh! Kweli kuna kaukimya kamepita. Ila tupo pamoja saaana.



Mdoti Com-kom

unread,
Nov 3, 2010, 10:33:08 AM11/3/10
to lux...@googlegroups.com
Analojiuliza mkubwa ni kweli, nimejiuliza mimi pia. Nadhan ilikuwa ni homa ya uchaguza ambao watokeo yake ni dalili za kutaka kuwepo mabadiliko katika kila kona. Ipo haja ya kuutathmini, na kutenda ipasavyo. Tuamke jamani?

JOHN MKUMBWA

unread,
Nov 4, 2010, 2:26:44 AM11/4/10
to lux...@googlegroups.com
Daah nashkuru kwa responce yako mdau, enhe najua mida hii ni homa ya matokeo ya urais wa nchi hii nzuri na tuipendayo....
umemskia Dr. Slaa BBC na Magazetini? @Slaa kura zimehujumiwa na ushahidi mzito anao atatinga nao NEC, mahakamani na umoja wa mataifa kuhakikisha CCM hawampori hata kura moja

2010/11/3 albert kisima <alber...@yahoo.com>

JOHN MKUMBWA

unread,
Nov 4, 2010, 2:28:43 AM11/4/10
to lux...@googlegroups.com
Kweli kaka mabadilliko tumeyalilia saana na sasa tumefanya kwa vitendo ila bado uraisi ndugu na Mheshmiwa Slaa kashtukia dili la CCM

2010/11/3 Mdoti Com-kom <doti...@yahoo.com>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages