Matumizi ya kiingereza katika filamu za kiswahili za kitanzania.

3 views
Skip to first unread message

Albert Kissima

unread,
Dec 3, 2010, 8:51:19 AM12/3/10
to Lux.mund
Kwenye filamu nyingi za kitanzania, wahusika wamekuwa wakichomekea
Kiingereza. Hivi jambo hili huwa linakusudiwa? Kama linakusudiwa, ni
ujumbe gani wanataka kuifikishia hadhira?

Msaada jamani.

JOHN MKUMBWA

unread,
Dec 6, 2010, 3:13:15 AM12/6/10
to lux...@googlegroups.com
Nahisi wanakusudia. Na hii ni ili kuwaonyesha waTz kuwa mhusika amepitia shule japo kidogo, ingawa kiingereza chenyewe ni kileee cha kuungaunga..

2010/12/3 Albert Kissima <alber...@yahoo.com>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages