On Fri Sep 3rd, 2010 10:20 AM PDT Faraja Willy wrote:
>Sijambo, sijambo, sijambo kabisa christian bwaya! Hekaheka haziishi.
>
>On Fri, 03 Sep 2010 14:53 BST Christian Bwaya wrote:
>
>>Nini hubidi kifanyike ili kufahamishana kuwa tuko siriaz? Usiriaz ni mada
>>pana mno ndugu zanguni! Kuna watu wako seriaz kufuatilia barua zao za
>>kupandishwa daraja. Nao wako siriaz katika hilo. Kuna watu wanafuatilia
>>malimbikizo. Wapo seiriaz kwa hilo. Kuna watu wanalea familia baada ya muda
>>mrefu kupita. Nao wapo siriaz. Kuna watu wapo siriaz kwa kampeni. Wamelipwa
>>vijisenti kupiga debe.
>>
>>Sasa bwana Mdoti, unapohoji usiriaz unamaanisha nini hapo?
>>
>>Anyway, nami nipo. Nimekuwa siriaz na mambo fulani hivi kwa takribani mwezi
>>mzima sasa. Ila sasa nadhani nitaanza kuwa siriaz hapa pia!
>>
>>Hebu tuanze kuachia vitu sisi tuliopo. Wengine watatukuta tukiendelea.
>>Faraja Willy hujambo?
>>
>>
>>2010/9/2 Mdoti Com-kom <doti...@yahoo.com>
>>
>>> Ndugu zangu, ni vizuri tukajuzana kinachoendelea. Nipo moshi, kuiona
>>> familia yangu. Nitarudi morogoro j2
>>>
>>> On Wed Sep 1st, 2010 11:03 PM PDT Charles Sungura wrote:
>>>
>>> >kaka vuta subira watu wanarekebisha ajira
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >________________________________
>>> >From: Moderator <mwenge.g...@gmail.com>
>>> >To: Lux.mund <lux...@googlegroups.com>
>>> >Sent: Wed, September 1, 2010 5:58:35 AM
>>> >Subject: Ninachokiwaza
>>> >
>>> >Je hivi ni kweli kuwa tupo siriaz. nafikiri sioni kama mpo kazini.
>>> >jamani mbona kimya sana?
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>>
>>>
>>>
>>>
>
>
>
>
>