Re: tupo

0 views
Skip to first unread message

amos daniel

unread,
Nov 3, 2010, 12:22:44 PM11/3/10
to lux...@googlegroups.com
Kobe akiinama ni dalili njema ya kupata mawazo mapya,bado tupo japo tumepata pigo la uraisi.TUME YA UCHAGUZI NI MEMBERS WA EPA.

On Wed Nov 3rd, 2010 10:33 AM EDT Mdoti Com-kom wrote:

>Analojiuliza mkubwa ni kweli, nimejiuliza mimi pia. Nadhan ilikuwa ni homa ya uchaguza ambao watokeo yake ni dalili za kutaka kuwepo mabadiliko katika kila kona. Ipo haja ya kuutathmini, na kutenda ipasavyo. Tuamke jamani?
>
>On Wed Nov 3rd, 2010 12:15 AM PDT JOHN MKUMBWA wrote:
>
>>Jamani ukimya namna hii ni mbaya sana kwa maendeleo ya forum yetu... ila ni
>>kwa nini na inawezekana kweli kwamba hamna lolote la kushirikishana!!!
>
>
>
>


Mdoti Com-kom

unread,
Nov 3, 2010, 12:54:34 PM11/3/10
to lux...@googlegroups.com
Hilo nalo neno!

JOHN MKUMBWA

unread,
Nov 4, 2010, 2:36:26 AM11/4/10
to lux...@googlegroups.com
Kweli Amos umesema jambo ambalo ni sahihi ila nashkuru Mungu kwani mwaka huu mgombea wetu ni makini na anaenda na data kuliko tunavyoweza kudhani kirahisi, kasema matokeo yote anayo kituo hadi kituo na matokeo ya urais yanayotangazwa yamehujumiwa aka kuchakachuliwa na CCM plus NEC kwanza hawa ni walewale wastuzunguke hata kidogo..
then eti sku ile Makamba anasem tunamwomba Mungu atuchagulie Raisi wa Tz lakini raisi huyo atoke CCM swali ni jeeee hivi ndivyo tunavyosaliii au hii ilkuwa dalili ya kusema hatakama Mungu akimchagua rais mzuri na mwadilifu ila akiwa sio ccm basi sio raisiiii!!!!!!!
nisaidieni katika hili
Nawasilisha

2010/11/3 amos daniel <amosda...@yahoo.com>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages