Kimsingi ni warundi elfu kumi na wasomali elfu tatu na mia tano. Hau wasomali wengi wao ni wanajeshi waliokimbia kule. Msisahau kuna wasomali waliokamatwa ludewa kwa mamia, wengi wao ni wanajeshi na huwa daima wanachanganyika na Al-shabaab {vijana wa kazi} na mara nyingi wanafadhiliwa na Al caida.
Serikali yetu ya sasahivi siyo makini sana kwani mnaweza kushuhudia mambo mengi ambayo yanawafanya viongozi wetu wapo bizze wanataka urais wa 2015. Mfano, Wakati Ethiopia na njaa yao, na jangwa lao, wamejenga kwa siri mabwawa makubwa mawili kwaajili ya kuzalisha MA MEGAWATTES Mengi, sisi wenye maji yetu tunavimegawatts.
Ethiopia wana mpango wa kuzalisha megawatts 20,000 za umeme (sisi tuna megawatts 650) miaka hamsini ya uhurui. Ethiopia wanampango wa kutuuzia umeme afrika nzima. Hawawezi lima ukame.
Ninachotaka kushauri ni kukutana ndugu zangu. Tusingoje serikali. Twaweza paza sauti zetu na zikasikika. Saa ya ukombozi ni sasa.
2011/8/22 msugu jonathan.B
<msu...@yahoo.co.uk>
`Haya kaka Dommy wageni ndo haooo wanakuja.
KAKA Any idea watasettle maeneo gani ya Ludewa???
SASA inabidi tujipange kushughulika na dada zao zaidi ya wao watakavyo shughulika na dada zetu (JOKE...)
Kuna mwanazuoni mmoja Mholanzi aliniambia kuwa Tanzania ingekuwa na watu wengi hata kuifikia au kuizidi Nigeria, maendeleo ya uchumi wake yangepanda kwa kasi kwa sababu watu wangekuwa wanapeana challenges na kufikiria zaidi ili ku-survive!=ENTREPRENEURSHIP. Alifananisha na England ambayo ina population density kubwa zaidi Ulaya na uchumi wao ni mzuri hata hawataki kujiunga na Euro. ![:-SS nail biting]()
Hivi usemi huu ni wa kweli?? might it
be there a positive impact if LUDEWA population density increases???
Msinilime jamani ni changamoto tu nataka tufikirie positive side out of this-if at all zipo, kwa sababu serikali ndo imekwisa kuamua
RAMADAM KAREEM
Msugu
__,_._,___
--
CELL: +255-773-11-1163