Tupo pamoja na poleni sana. Kwa bahati mbaya nipo Kigali na hivyo sitaweza kuhudhuria.
Wapendwa wana ludewa,Kuhusu taratibu za kumwaga ndugu yetu Dr Haule, ni kwamba kesho mwili utaletwa nyumbani kwake kileleni namba 8 saa 4 asubuhi ila taratibu zote za kumwaga zitafanyika katika kanisa la Chuo Kikuu kuanzia saa 6 mchana. Baada ya ibada ya kumwaga, mwili utaagwa na safari ya kumpeleka nyumbani kwao Madunda - Ludewa, mkoa wa Njombe itaanza. Kwa watakaoweza kwenda nyumbani kwa marehemu, unashuka kituo cha daladala Ardhi, rudi nyuma kidogo utakuta barabara inachepuka kulia ifuate hiyo. Mbele kidogo utaona inayochepuka kushoto usiifuate, endelea mpaka mbele kidogo na fuata inayoelekea kushoto. Nyumba aliyokuwa akiishi marehemu ipo upande wa kushoto. Zipo mbili zinatazama, ila ya kwake ni Kileleni namba 8.AsanteniMr. Faraja Kristomus(Katibu - UDASA)
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135"All human beings are equal except our colours, beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".
__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (1) .![]()
__,_._,___