HERI YA PASAKA WAPENDWA

6 views
Skip to first unread message

Erhard Willa

unread,
Apr 5, 2012, 9:19:30 AM4/5/12
to lud...@googlegroups.com, Ludewa-Wing, Udawikosa Group
MWENYEZI MUNGU ATUKUMBUSHE MAMBO MAKUU KATIKA MAISHA YETU. TUSIZAME SANA KUJILIMBIKIZIA MALI BILA KUMKUMBUKA MUNGU KWA KUWASAIDIA WENYE UHITAJI WA KWELI (SIO BAADHI YA WAGOGO HAPA DODOMA AMBAO WAMEFANYA KUOMBA KWAO NI AJIRA HALALI). TUSISAHAU KUKUPA KIPAUMBELE LUDEWA KWA KUWEKEZA KWENYE MIGODI (MCHUCHUMA NA LIGANGA) HOTELI, GEST HOUSES, MABUCHA, USAFIRISHAJI NK.ILI KUJIONGEZEA KIPATO. KILA JEMA.

Dominic Haule

unread,
Apr 5, 2012, 9:39:02 AM4/5/12
to lud...@googlegroups.com
Asante sana willa kwa kutukumbusha jambo ambalo USA wamelifanya kuwa sera. Ni serikali pekee inayotoa fungu la 10 hapa duniani.

Noti yao pia imeandikwa 'in God we trust'. Noti za nchi nyingine zina picha ya nyoka, kumwakilisha rasmi shetani. Tumsifu Yesu Kristu.

Sent from my iPhone

On 5 Apr 2012, at 4:19 alasiri, Erhard Willa <erha...@yahoo.com> wrote:

MWENYEZI MUNGU ATUKUMBUSHE MAMBO MAKUU KATIKA MAISHA YETU. TUSIZAME SANA KUJILIMBIKIZIA MALI BILA KUMKUMBUKA MUNGU KWA KUWASAIDIA WENYE UHITAJI WA KWELI (SIO BAADHI YA WAGOGO HAPA DODOMA AMBAO WAMEFANYA KUOMBA KWAO NI AJIRA HALALI). TUSISAHAU KUKUPA KIPAUMBELE LUDEWA KWA KUWEKEZA KWENYE MIGODI (MCHUCHUMA NA LIGANGA) HOTELI, GEST HOUSES, MABUCHA, USAFIRISHAJI NK.ILI KUJIONGEZEA KIPATO. KILA JEMA.

--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Ludewa" group.
To post to this group, send email to lud...@googlegroups.com
To unsubscribe from this group, send email to
ludewa+un...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/ludewa?hl=en?hl=en
Ukumbi huu haubebi dhamana ya kisheria ya maoni yanayotolewa na wanaukumbi.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages