Looks too early !
From: ludewa...@yahoogroups.com [mailto:ludewa...@yahoogroups.com] On Behalf Of gmha...@udsm.ac.tz
Sent: Sunday, October 30, 2011 12:29
To: ludewa...@yahoogroups.com
Subject: [ludewamakini] SIASA ZETU NA VIONGOZI
Wasomi wa Ludewa nawasalimu. Nimekuwa nikijaribu kuangalia mwelekeo wa
siasa za Ludewa imefika mahali nina wasiwasi na tunakoelekea.Kama
hatujajipanga sasa hivi inaonekana tutapewa viongozi wa kupewa pasipo
ridhaa yetu.
Naomba niwashauri wasomi wa Ludewa kama vile lakini siyo hawa tu;
Evaristo Mtitu,Evaristo Haule, Faraja Lugome.....kutafakari juu ya siasa
za Ludewa.Na pia nawaomba mtangaze nia.
Nimetaja majina haya kwa sababu yamekuwa karibu sana kwenye kinywa changu
na nafikiri wakikaa hawa na wengine wanaweza kupendekeza viongozi
wanaotakiwa kuwawakilisha wana Ludewa.
Kimsingi hali inakoenda inaweza ikawa tofauti na mategemeo ya wengi
kulingana na mikakati ambayo baadhi ya watu wameanza kujiwekea kuanzia
sasa.
Nawatakia safari njema ya 2015.
__._,_.___
Recent Activity:
MARKETPLACE
Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use
.
![]()
__,_._,___
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Ludewa" group.
To post to this group, send email to lud...@googlegroups.com
To unsubscribe from this group, send email to
ludewa+un...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/ludewa?hl=en?hl=en
Ukumbi huu haubebi dhamana ya kisheria ya maoni yanayotolewa na wanaukumbi.
Hi Dominic
Nimepata ujumbe wako kwa mtandao wa Lud...@googlegroups.com lakini ninaimani ulilenga kuupeleka kwenye jamvi la yahoogroups ambako mjadala huo huenda ndiko ulikofanyika. Pamoja na kutojua kilichoendelea huko, nachelea kukubaliana na maoni yako na kuendelea na maoni ya kuwa mjadala huu ni wa mapema mno kwa wana-Ludewa. Tuna muda wa kushuhudia juhudi za viongozi na kuwasaidia inapobidi. Muda ukifika wananchi wataamua kutokana na rekodi za utendaji na ushawishi wa watakaojitokeza.
Kila la heri.
-------
Director,
BEST FM Ltd,
P. O. Box 73,
Ludewa,
TANZANIA
Tel: +255 26 2790061
Mob: +255 754 302152
Web: www.bestfm.co.tz
