Ndugu wana Jamvi kuna taarifa za kuhuzuninisha sana za kuiondolea wilaya yetu Ruzuku ya Mazingira Magumu.
Kuna kitendo cha kinyama kilichofanywa na MwanaLudewa akishirikiana na wazindiki wasioitakia mema wilaya yetu kwa kuitoa kinyemela na kwa hila Kati ya Wilaya 11 zilizokuwa zinapata hela ya Ruzuku kwa ajili ya ujenzi wa Nyumba za walimu, Ujenzi wa Nyumba za wafanyakazi katika maeneo hatarishi yaliyopembezoni mwa wilaya yetu. kumbuka hata zile nyumba 11 za wafanyakzai wa halimashauri karibu na kituo cha BEST FM zimejengwa na fedha hiyo. Je huyu mtu anaitakia mema wilaya yetu????
Mtu huyu ni Mwnamke aliyeshirikiana na mmoja ya wakurugenzi wa TAMISEMI naye Mwanamke mwenye haiba ya Kichaga na baba wawili watokao Iringa uliokuwa Mkoa wetu.