KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefufua upya tuhuma za ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), huku akiwalaumu Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa chanzo cha kutochukuliwa
hatua mafisadi.
Dk. Slaa mbali ya kuwashutumu Kikwete na...
1