KUMBE INAWEZEKANA

3 views
Skip to first unread message

Erhard Willa

unread,
Apr 2, 2012, 3:40:42 AM4/2/12
to Ludewa-Wing, lud...@googlegroups.com, LUDEWA FORUM, Castory Willa, willaw...@yahoo.com, Ngasa Shirinde, godfrey kihega
Kijana mdogo Daudi amwua Goliati! Kumbe ukimlilia Mungu kwa moyo wa toba katika haki na kweli, Mungu atakusimamia hata utakaposhinda. Mbinu zote za ibilisi ili kuiba kura za jimbo zimegongwa mwamba hatimaye ni aibu tupu kwa watu wazima. Yako wapi sasa? Watu waliopata madaraka makubwa wakaishia kujilimbikizia mali na utajiri wa kupindukia kwa kumnyonya mnyonge na jamii inalifahamu hilo, leo wanataka kutudanganya tena! Mungu amewajibu kwa pigo moja. Pamoja na mamilioni yao watu siku hizi wameamua. HONGERA SANA JOSHUA NASARI.

Dominic Haule

unread,
Apr 2, 2012, 9:08:39 AM4/2/12
to lud...@googlegroups.com
Ahaaa!

Sent from my iPhone

On 2 Apr 2012, at 10:40 asubuhi, Erhard Willa <erha...@yahoo.com> wrote:

Kijana mdogo Daudi amwua Goliati! Kumbe ukimlilia Mungu kwa moyo wa toba katika haki na kweli, Mungu atakusimamia hata utakaposhinda. Mbinu zote za ibilisi ili kuiba kura za jimbo zimegongwa mwamba hatimaye ni aibu tupu kwa watu wazima. Yako wapi sasa? Watu waliopata madaraka makubwa wakaishia kujilimbikizia mali na utajiri wa kupindukia kwa kumnyonya mnyonge na jamii inalifahamu hilo, leo wanataka kutudanganya tena! Mungu amewajibu kwa pigo moja. Pamoja na mamilioni yao watu siku hizi wameamua. HONGERA SANA JOSHUA NASARI.

--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Ludewa" group.
To post to this group, send email to lud...@googlegroups.com
To unsubscribe from this group, send email to
ludewa+un...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/ludewa?hl=en?hl=en
Ukumbi huu haubebi dhamana ya kisheria ya maoni yanayotolewa na wanaukumbi.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages