Description
Ukumbi wa majadiliano yanayohusu maendeleo na changamoto za wanaludewa. Ukumbi huu ni huru na hauna mafungamano ya kisiasa, kikabila au kisehemu na kikundi chochote. maoni yanayotolewa hapa ni mawazo na maoni ya watu binafsi na ukumbi huu haubebi dhamana ya kisheria ya maoni hayo.