Mchakato wa matayarisho ya bw. Grayson unaendelea na soon unafikia kikomo.
Kusudio la huyu Bw. Kufunga ndoa ya kikristo liko palepale kwa maana ya tar 21 juni 2014 katika usharika wa mabibo farasi. Sakramenti hii itaongozwa na Baba Mch. Michael Loko.
Hadi sasa kamati imekusanya kiasi cha shs. 8 milion na kama mtakumbuka bajeti iliidhinishwa sh. 20 mil na pledges ni 13 mil. So bado tuko nyuma ya lengo lakini naamini tutafika pa kufika.
Send off ni ijumaa pale iringa so tumekaribishwa wote na kesho tutakuwa na kikao pale mama kamche pub kujadili wapi tulipo.
Kikao kingine kitakuwepo tena jumatatu maana jumapili wadau wengi akiwemo bw. Harusi watakuwa safarini wakitokea iringa.
Hivyo michango yenu ya hali na mali bado inahitajika na kwa wale walioahidi basi Bw na awapiganie kutimiza ahadi zao. Kwa wale ambao bado basi nafasi ya kushirikiana na bw. GQ pamoja na wengineo bado ipo.
Kaka Thom nakumbuka rai yako hivo nasubiri simu yako pamoja na wadau wengine mnaombwa na kukumbushwa.
Naomba kuwasilisha kwa niaba ya mwenyekiti bw. Walter Mushi
------------------------------
On Wed, Mar 5, 2014 10:07 AM CST Braille wrote:
>Tupo, tupo, tupo, tupo kabisa kwa kudra za muumba.
>
>
>-----Original Message-----
>From: "Nimso Msangi" <
nim...@yahoo.com>
>Sent: ‎3/‎5/‎2014 6:55 AM
>To: "
ljsclas...@googlegroups.com" <
ljsclas...@googlegroups.com>
>Subject: Re: [LJSclassof2000] TANZIA
>
>jamani mpo? waseminary juu
>
>
>
>On Tuesday, March 19, 2013 9:22 AM, Nimso Msangi <
nim...@yahoo.com> wrote:
>
>
>
>
>------Original message------
>From: Lilian Nsyenge <
lin...@hotmail.com>
>To: "Classmates Seminary" <
ljsclas...@googlegroups.com>
>Date: Friday, February 15, 2013 1:22:26 PM GMT+0300
>Subject: RE: [LJSclassof2000] TANZIA
>
>
>Dada Esupat, Mungu aliye baba wa yatima na mume wa wajane awe mtetezi na faraja kwako,Mama na wanafamilia wote katika kipindi hiki kigumu. Tuko pamoja.Wanadarasa na kanisa poleni pia. Lilian
>Date: Tue, 12 Feb 2013 22:48:13 -0800
>From:
smwal...@yahoo.com
>Subject: RE: [LJSclassof2000] TANZIA
>To:
ljsclas...@googlegroups.com
>
>
>
>Dada esuphat
>Mungu na akupe moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.
>Tunakuombea
>
>--- On Thu, 1/24/13, Hillary Rite <
hill...@hotmail.com> wrote:
>
>
>From: Hillary Rite <
hill...@hotmail.com>
>Subject: RE: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>To: "ljs 2000" <
ljsclas...@googlegroups.com>
>Date: Thursday, January 24, 2013, 3:11 AM
>
>
>
>
>
>
>
>Nami naungana na wanadarasa wote katika huzuni hii kubwa ya kumpoteza mwanadarasa mwenzetu.
>Poleni sana wote tulioguswa na kushtushwa na taarifa hizi kwamba Kaka Yetu Stephen hatunaye tena.
>Bwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina lake Libarikiwe. Kaka Res, Asate sana kwa Taarifa.
>Tutakumbuka sana Upole, Hekima na Upendo aliokuwa nao ndugu yetu huyu.
>Nawatakienni nyote tuliyobaki Mwaka Mpya wa Amani, Mafanikio, Upendo na Neema Tele.
>
>
>Regards,
>
>Hillary Rite
>
>
>
>
>
>
>
>Date: Mon, 21 Jan 2013 08:54:13 +0000
>From:
amymc...@yahoo.co.uk
>Subject: Re: Re: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>To:
ljsclas...@googlegroups.com
>
>
>
>Ooh Steve Ngowi, gone too soon bro! May your Soul Rest in Eternal Peace. AMEN
>
>
>
>
>
>From: thomas nyagawa <
t_ny...@yahoo.com>
>To:
ljsclas...@googlegroups.com
>Sent: Saturday, 19 January 2013, 14:34
>Subject: Re: Re: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>
>
>
>
>
>
>REST IN PEACE BROTHER STEPHEN NGOWI.
>TUTAKUKUMBUKA DAIMA
>AMEN
>
>
>
>
>
>
>--- On Thu, 1/17/13, bernard konga <
kon...@yahoo.com> wrote:
>
>
>From: bernard konga <
kon...@yahoo.com>
>Subject: Re: Re: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>To: "
ljsclas...@googlegroups.com" <
ljsclas...@googlegroups.com>
>Date: Thursday, January 17, 2013, 6:58 AM
>
>
>
>
>
>Wapendwa!
>
>Ni huzuni sana kwa rafiki yetu kutwaliwa wakati bado tunamhitaji, lakini mwisho wa yote tunakumbushwa kwamba yeye aliyetoa ndiye aliyetwaa na jina la lake libarikiwe.
>
>
>
>
>
>Konga, Bernard (BSc, MSc. Economics)
>
>Assistant Director - Planning and Budgeting
>Department of Policy and Planning
>Ministry of Health and Social Welfare
>P.O. Box 9083
>Dar es Salaam, Tanzania
>
+255 22 2123955
>
+255 715 661 221
>
>
>
>
>
>From: Amos Malongo <
amos_...@yahoo.com>
>To:
ljsclas...@googlegroups.com
>Sent: Wednesday, January 16, 2013 6:23 PM
>Subject: RE: Re: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>
>
>
>
>
>
>Poleni classmates kwa msiba huu!
>
>Nilipokeahabari hizi kwa kushtuka ila kwa kuwa limeshatokea kwetu ni huzuni.....poleni tena, pole familia ya Stephen, Mungu atupe faraja yake.
>
>Kaka yetu pumzika kwa amani!!!
>
>Amos"Do nothing from selfishness or empty conceit, but with humility of mind, regard one another as more important than yourselves;do not merely look out for your personal interests,but also for the interest of others."So then, while we have opportunity,let us do good to all people,and especially to those who are of the household of the faith."
>Philippians 2:3;Galatians 6:10 --- On Wed, 1/16/13, festo kandonga <
festok...@yahoo.co.uk> wrote:
>
>From: festo kandonga <
festok...@yahoo.co.uk>
>Subject: RE: Re: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>To:
ljsclas...@googlegroups.com
>Date: Wednesday, January 16, 2013, 3:02 AM
>
>
>
>
>
>
>
>REST IN PEACE MY BROTHER STEVE 'GONE TO SOON' KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA. THIS REMIND ME OF OLE LEMOMO ALIANZA KUJISIKIA VIBAYA ASUBUHI NA KUZIDIWA BY MCHANA HATUKUWA NAYE(2000). SISI TUWAPITAJI TUU HAKUNA MJI UDUMUO. MMETANGULIA TUNAFUATA
>
>MAY GOD THE ALMIGHTY BLESS YOU ALL MY BROTHERS AND SISTERS.
>
>Festo Joseph Kandonga
> --- On Wed, 16/1/13,
mahaw...@yahoo.com <
mahaw...@yahoo.com> wrote:
>
>From:
mahaw...@yahoo.com <
mahaw...@yahoo.com>
>Subject: RE: Re: [LJSclassof2000] TANZIA: STEPHEN NGOWI HATUNAYE TENA
>To:
ljsclas...@googlegroups.com,
ljsclas...@googlegroups.com
>Date: Wednesday, 16 January, 2013, 22:19
>
>
>Polen sana wapendwa mwenyezi mungu ampe pumziko la aman ndungu yetu -- For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
>-- For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/LJSclassof2000-- For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/LJSclassof2000-- For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/LJSclassof2000-- For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
>--
>For more options, visit this group at

>---
>
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "LJS Class of 2000 (O~Level 1997 and A~Level 2000)" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
ljsclassof200...@googlegroups.com.
>
>For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.