Hi
Nawasalimu wote katika jina la BWANA WETU YESU KRISTO
Ni siku nyingi sijawasiliana nanyi katika ukurasa huu, hii kutokana na kubanwa na majukumu.
Nawapa pole wale wote waliopotelewa na wapendwa wao, pia nawapa hongera wale wote walio pata wenzi na kubarikiwa kupata watoto. Pia hata wale waliofanikiwa katika shughuli zao.
Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuwa nimefanikiwa kufungua kampuni ya usanifu majengo inayoitwa ATRIUM ARCHITECTS ambayo inakuwa based DODOMA. Mkiwa kama wadau, nawakaribisha sana hata kwa mchango wa mawazo na kazi pia.
Nawatakia Mema katika maisha
yenu.
Wenu,
Arch. Jonaphry C.Rwabagabo
Principal Architect
Atrium Architects
P.O.Box 1649
Dodoma