Looking for last minute shopping deals? Find them fast with Yahoo! Search.
Find them fast with Yahoo! Search.
Sent from Yahoo! - a smarter inbox.
![]()
![]()
Date: Tue, 19 Feb 2008 09:36:21 -0800
From: bhoke...@yahoo.com
Subject: [LJSclassof2000] TAARIFA YA MSIBA
To: LJSclas...@googlegroups.com
Habari za Masiku wanadarasa?Nasikitika kuwa taarifu kwamba Mwanaseminari mwenzetu Lusajo Mwakoba amefiwa na baba yake mzazi leo hii 19/02/2008 huko Dar es salaam, Tanzania.Nawaomba tushirikiane kama ilivyo kawaida yetu.Mungu ailaze Roho ya baba yetu mahali pema peponi. Amina.
Lusajo anapatikana kwenye namba yake ya mkononi 0773 533 733Asanteni na Mungu awabariki.Bhoke.
Jeremiah 33:2-3
2 "This is what the LORD says, he who made the earth, the LORD who formed it and established it--the LORD is his name: 3 'Call to me and I will answer you and tell you great and unsearchable things you do not know.
Date: Wed, 20 Feb 2008 01:34:32 -0800
From: dkis...@yahoo.com
Subject: [LJSclassof2000] Re: TAARIFA YA MSIBA
To: LJSclas...@googlegroups.com
Kaka yangu Lusajo,Pole sana kwa kumpoteza baba yetu mpendwa, natambua ni kipindi kigumu sana kwako nasi pia lakini Mungu atakupigania na kukutia nguvu. Tupo pamoja katika maombi na kwa hali na mali. Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na hali hii. Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu.
Be a better friend, newshound, and know-it-all with Yahoo! Mobile. Try it now.</a
Ama baada ya salaam napenda nitoe yangu machache
niliyoyaona jana kwenye msiba wa baba yetu mpendwa
Mzee mwakoba pale Muhimbili hospital.
Binafsi niliguswa na jinsi uwakilishi ulivyokuwa mzuri
pamoja na majukumu mengi mliyonayo .
Inaonyesha kuwa kweli tunaishi kiblia kwa kupendana
kidugu.
Kwa wale walio mbali msiwe na wasiwasi uwakilishi
ulikuwa mzuri sanaa.
Sina mengi zaidi ya kusema kep it up wana Seminary.
Dada Rhobi asante kwa huduma yako kaka Benardi, Frank,
Sabuka, Walter, Abel, Kandonga, Grace ,Duah,
Naomi,Fadhil,Amani na wegine woote...... Jamani Bila
Kumsahau MAMA YETU MPENDWA MAMA MUKAMI ASANTE.
Kaka Lusajo Mungu awafariji.
Amosi Asante kwa salaam Kaka Konga alizifikisha.
Nawapenda sana.
Udumu Umoja huu.
G
--- braille <brai...@yahoo.com> wrote:
Gigwa Stephen (Mrs)
University of Dar es Salaam
Mlimani Postal Mail Bag
P. O. Box 110 136
Dar es Salaam
Tanzania.
Tel.(Mobile) +255 (0)744 387 643
____________________________________________________________________________________
Looking for last minute shopping deals?
Find them fast with Yahoo! Search. http://tools.search.yahoo.com/newsearch/category.php?category=shopping
Rise to the challenge for Sport Relief with Yahoo! for Good