Hi wanadarasa,
Nimebahatika kupata fomu ya LJS ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ukarabati wa shule,kama mtu atawiwa kuchangia tafadhali unaweza kuprint na kukusanya fedha then ukawakilisha mchamgo wako kanisa la MSASANI LUTHERAN au kama ni mchango wako binafsi ungependa kutoa nakukaribisha uchangie kwenye fomu yangu.no yangu ya simu ni 0574 710402 tuwasiliane unipatie mchango wako.
Wenu ktk ujenzi wa shule na taifa.
Nuya.
PLEASE OPEN THE DOCUMENT AND READ.
--- On Mon, 4/19/10, Nuya Makindara <nmaki...@vodacom.co.tz> wrote:
|