Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi

15 views
Skip to first unread message

Emma Chanimbaga

unread,
May 8, 2012, 6:00:06 AM5/8/12
to ljsclas...@googlegroups.com
Habari wanadarasa,

Ni matumaini yangu wote mnaendelea vizuri katika shughuli zenu.

Dhumuni la email hii ni kutaka kuwashukuruni wote kwa, faraja na maombi yenu katika kipindi hiki kigumu, mmeonyesha umoja na upendo wa ajabu na kwa hayo nashukuru sana na kuwaombea mungu awazidishie baraka zake.

Pili, tutakuwa na ibada ya shukurani jumapili tarehe 13 mwezi huu wa tano katika kanisa la kunduchi lutheran ibada ya saa nne na baada ya ibada chakula cha mchana hapa nyumbani...karibuni sana kwa wale mtakaoweza kuhudhuria.

Asanteni sana

Emma Chanimbaga

Sent from my Samsung Galaxy Note

-----Original Message-----

From: anna...@yahoo.com
Sent: 21 Apr 2012 18:10:31 GMT
To: ljsclas...@googlegroups.com
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi

Halloo Emma,
Pole sana kwa kuondokewa na mama mpendwa. Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: nuya makindara <nuya...@yahoo.com>
Date: Sat, 21 Apr 2012 10:55:43 -0700 (PDT)
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi

Hi Emma,
 
pole sana ,Mungu awape faraja ya kweli.
 
Nuya.
From: Lusajo Mwakoba <lmwa...@yahoo.co.uk>
To: "ljsclas...@googlegroups.com" <ljsclas...@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 16, 2012 4:18 PM
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi
dada yangu Emma Chanimbaga tupo pamoja ktk maombi.
mungu ni mwema ataziba pengo aliloliacha mama yetu mpendwa.
 
R.I.P mama Chanimbaga.

From: danstan kishaka <dkis...@yahoo.com>
To: ljsclas...@googlegroups.com
Sent: Monday, 16 April 2012, 0:00
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi

Pole sana dada yangu, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

Eng. Danstan A. Kishaka
Regional Secretariat Engineer,
MBEYA

--- On Mon, 4/16/12, mariam godwin <mamg...@yahoo.co.uk> wrote:

From: mariam godwin <mamg...@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi
To: "ljsclas...@googlegroups.com" <ljsclas...@googlegroups.com>
Date: Monday, April 16, 2012, 10:04 AM

Pole sana Emma, Roho Mtakatifiu na awafariji wanafamilia ktk kipindi hiki cha huzuni. Mgendi
From: lulu tunu <lulu...@yahoo.com>
To: "ljsclas...@googlegroups.com" <ljsclas...@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 15 April 2012, 22:34
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi
Emma pole sana na familia yako. mungu awatie nguvu.
Lulu
 
Permanent: Lulu Tunu Kaaya
Assistant Lecturer
Dept of Fisheries Science and Aquaculture
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35064
DSM-TZ
Email:lulu...@yahoo.com

Current:Lulu Tunu Kaaya
PhD Candidate
Zoology Dept
University of Cape Town
South Africa
email:lulu....@uct.ac.za
From: "gje...@yahoo.com" <gje...@yahoo.com>
To: ljsclas...@googlegroups.com
Sent: Saturday, April 14, 2012 11:33 AM
Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi
Pole sana Emma, Mungu awatie nguvu ktk kipindi hichi cha majonzi Glady Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania. -----Original Message----- From: Mtindo Shilla <mulo...@gmail.com> Sender: ljsclas...@googlegroups.com Date: Sat, 14 Apr 2012 09:22:27 To: ljsclas...@googlegroups.com<ljsclas...@googlegroups.com> Reply-To: ljsclas...@googlegroups.com Subject: Re: [LJSclassof2000] mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi Pole saana Emma kwa msiba wa mama, Tunakuombea pamoja na familia yote faraja kutoka kwa  Mungu. Sent from my iPhone On 14 Apr 2012, at 09:12, Mwakapeje Mrs <smwal...@yahoo.com> wrote: > > My dear emma,I am sorry for the loss,be strong,thank God for the gift of her life you cherished,and pray for him to keep her soal in eternal peace. > ------------------------------ > On Fri, Apr 13, 2012 21:06 PDT brai...@yahoo.com wrote: > >> Kwenu wanadarasa >> Mwanadarasa mwenzetu Emma Chanimbaga amefiwa na Mama yake mzazi Asubuhi AprieIPl 13/2012 huko India,Taratibu zinafanywa kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi.Mwenzetu >> anategemea Kusafiri siku ya Jumapili kwenda kuwahi mazishi yatakayo fanyika huko Njombe. >> Naomba tumweke dada yetu na familia yake kwenye maombi na kuwapa ushirikiano na kuwafariji. >>                                >>  >> Sent via BlackBerry by AT&T >> >> -- >> For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000 > > -- > For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000 -- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000 -- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000

--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000

--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages