The Google Groups Team
Date: Fri, 23 Mar 2007 21:57:32 -0700 (PDT)
From: braille <
brai...@yahoo.com>
Subject: Jamani kwa wali mliopitwa na msg siku hizi mbili samahanini sana
To: LJS 2000 class <
ljsclas...@googlegroups.com>
Samahani waungwana mliopitwa ao kuchanganywa na msg za siku hizi mbili tulikua kwenye mpango wakupunguza wingi wa email lakini naona bado utaratibu huo haujafikia unapotakiwa hivyo tutaendelea kama dhamani.
Mama watotos, yaani Rhobi, Mtindo, Shubi, dada Emily na kaka Gilbaiture Gregory mmetesa sana jana hopo UK, Subira angekua yuko darasani angewaandika majina msafishe darasa kesho. Jamani nawatakia wote wkend njema.
Nyagawa nakupata kwa mbaliii ila sina haraka ushatoa ahadi siku na saa.
Zifuatazo ni msg
zilizowapita wengi wetu
From:
amymche...@yahoo.co.ukDate: Mar 23, 4:04 am
Subject: hi
To: LJS Class of 2000 (O~Level 1997 and A~Level 2000)
wapendwa habari zenu,mimi sijambo naendelea poa na afya yangu.
saivoiye nna ham mno ya kukuona mh ila sijui itakuwa lini,
mh emma chan hatukumbukani mshkaji?
isyu mbona namna hiyo kimyaa,
mtindo mambo niaje?
jaman wengine ambao mmejiunga na haka ka mtandao mbona kimya?
nawamiss wote
weekend njema
amy
From: thomas nyagawa <
t_nyag...@yahoo.com>
Date: Mar 23, 3:31 am
Subject: salaam
To: LJS Class of 2000 (O~Level 1997 and A~Level 2000)
WANADARASA POLENI SANA KWA MAJUKUMU MAANA NAONA HATA
SPEED YA KUINGIA KWENYE MTANDAO IMEPUNGUA AHAHAHAHA
POLENI SANA RAS,GLADY,KONGA,WALTER,RHOBI
MAMAA,
HAMSIKIKI KABISA .........
POA MWENYEKITI HAPA NAWAPA HI.........
KAKA BRAILLE USIJALI KUHUSU PICHA ZA BIRTHDAY ZITAKUA
HEAWANI SOON....KUNA LOGISTIC NAREKEBISHA
MBARIKIWE WOTE
TOM WA NYAGAWA
From: "Lilian Nsyenge" <
lin...@hotmail.com>
Date: Mar 21, 5:52 am
Subject: salaam
To: LJS Class of 2000 (O~Level 1997 and A~Level 2000)
Shalom Twin,
Asante kwa kazi njema. Nimeshacheck na biarusi mtarajiwa na utajulishwa
maendeleo soon.
Dada Shubby, usikonde mambo yako yameeleweka hakuna shida. Nimeshacheck na
wahusika.
Dada Mtindo asante, mambo yako yameeleweka pia hakuna shida.
Dada Emma na Kaka Benjamin, asanteni nimeshacheck na wahusika na mambo
yanakwenda sawa.
Wanadarasa Mungu awatie nguvu mwendelee vema. Bado niko uhamishoni kwa
muda.Kazi njema.
From: braille <
brail...@yahoo.com>
Subject: [LJSclassof2000] Re: salaam
Date: Tue, 20 Mar 2007 08:22:08 -0700 (PDT)
Dada Lily nimekupata vema kabisa, pole kwa safari twin, Hii email add
nimesha iongeza kwahiyo namkaribisha huyoooo kondo mwenzetu.
Naomba umkumbushe subira ampigie Mama Ndanshau simu kuhusu maagizo
aliyoachiwa na Bhoke.
Waungwana wengine wote I will catch you in the next bus... LJS 2010
express
Thanks
oohh bwana T. mtandao Nyagawa... ahadi ni deni... Picha baba
tunazisubiri
_________________________________________________________________