Naomba niungane na wengine waliotangulia na Mimi
nikupe POlea sana Kaka Sabuka Mungu akutie nguvu.
Pia naomba Umpe salaam nyingi sana Dada Yako Sarah
mwambie ninampa pole nyingi sana.
Hata hivyo tunaushukuru mtandao kwa kutuunganisha japo
twapoteana lakini shughuli zikipungua unajua pa
kuwapata wapendwa na kuwajua hali . Asante sana.
Sina mengi wapendwa .
Mungu awangazie Nuru ya Uso wake na kuwapa Amani.
Wote tuseme AMEN.
Love,
Gigwa.
> Support the World Aids Awareness campaign this month
> with Yahoo! for Good
>
>
>
>
____________________________________________________________________________________
> Never miss a thing. Make Yahoo your home page.
> http://www.yahoo.com/r/hs
>
>
>
Gigwa Stephen (Mrs)
University of Dar es Salaam
Mlimani Postal Mail Bag
P. O. Box 110 136
Dar es Salaam
Tanzania.
Tel.(Mobile) +255 (0)744 387 643
____________________________________________________________________________________
Never miss a thing. Make Yahoo your home page.
--- amy mchelle <amymc...@yahoo.co.uk> wrote:
> bwana yesu asifiwe wapendwa wanadarasa
> nafurahi sana kusoma email zenu na kuona kuna watu
> wanazidi kuongezeka kama kandonga na wengineo maana
> ni muda mrefu umepita hatujaonana wala kuwasikia.
> naomba nichukue fursa hii kumpa pole stewart kwa
> kumpoteza baba yake,mungu ni mwema na awafariji na
> kuwatunza familia iliyobaki.
> wale waliomaliza masomo nawapa hongera pia,kaka
> njunwa hongera kwa kupata ubavu nadhan nlikuwa
> sijakupongeza.kama kuna niliyemsahau hongera zake
> pia.ohoo nilisahau pia roselyn pole kwa kufiwa na
> mtoto wa sister,mungu ampe moyo mkuu your sister.
> mungu awabariki wote
> Amy
>
>
> ---------------------------------
> Support the World Aids Awareness campaign this
> month with Yahoo! for Good
>
>
>
CEO & PRESIDENT
"ZION PHARMACEUTICAL INDUSTRY"
Tel: +919894155529
"Bravery is not a quality of the body, it is of the soul"
Support the World Aids Awareness campaign this month with Yahoo! for Good
Be a better friend, newshound, and know-it-all with Yahoo! Mobile. Try it now.