Habari wapendwa,
Tumekubaliana na waungwana wachache kesho Ijumaa (26/10/2007) Saa 11:15 jioni tukutake pale STEERS mjini kwa ajili ya kuonana na dada Gloria Kisaka.
Binafsi sijamwona dada Gloria kwa miaka kama 6 sasa.
Naomba wapendwa mjitahidi mpite hata dakika tano au kumi just to say hello to Gloria. Anategemea kuondoka November.
Dada Lilian Najua atakuwepo, Rhobi, Mimi, Roselyn, Naomi kama akiweza atakuwepo Kibibi, Nuya Theresia karibuni sana …kaka Mutete na Davidi tafadhali mkiweza pitieni just some few minutes. Grace Robert karibu kama ukiweza hapo vijana sio mbali sana .
Ndene kule Arusha pole najua hutaweza kuja ingawa unatamani sana … wewe subiri story tu kutoka kwangu.
Thanks,
Gigwa.
From: LJSclas...@googlegroups.com [mailto:LJSclas...@googlegroups.com] On Behalf Of braille ndashau
Sent: 25 October 2007 14:02
To: LJSclas...@googlegroups.com
Subject: [Potential Spam] [LJSclassof2000] Re: to kaka Godwin Axwesso
Dada Gigwa consider it done, nimesha waongeza wapendwa hao kwenye list yetu. Asante sana
Kaka G Gregory naona niombe msamaha na kukuomba udondoshe japo barakazako mitaa hii maana mvua hazinyeshi kabisa usawa huu.
Emma, Neema na Grace, pictures zinakuja naomba kamuda kidogo niingie studio kuzichora.
Shubi, Mtindo na Tusa mbona kimya kingi?
GQ kapotelea wapi?
Kishaka mkuu wangu vipi Iringa kunasemaje kaka?
Ben Sitta Naona ubusy umezidi lakini salamu haigombi kaka!!
Naishia hapo kwaleo, mkuu amosi nitatekeleza majukumu soon have a nice wkend.
Waungwana wote nawatakia wkend njema.