Re: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA

4 views
Skip to first unread message

Hillary Rite

unread,
Nov 8, 2012, 8:59:53 AM11/8/12
to Res Martin, ljs 2000
Kaka Res, pole na Kampeni za uchaguzi Ohio, ukafanya the same BK.
Sent via BlackBerry by AT&T

-----Original Message-----
From: Respikius Martin <res...@yahoo.com>
Date: Wed, 7 Nov 2012 17:34:22
To: <ljsclas...@googlegroups.com>
Subject: Re: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA


Dada Lili,
Karibu SUA. Nikija nitakutafuta. Mungu akutangulie ktk masomo yako
Ahsante

 
 
Respikius Martin
Department of Agric. Educ. & Extension
Sokoine University of Agriculture
P.O.Box 3002, Morogoro, Tanzania
Email: res...@yahoo.com
Alternate email: rma...@suanet.ac.tz
Mob. &nbsp;+255754776134
&nbsp;
Current
Graduate Student
School of Environment and Natural Resources
Ohio State University - USA
113 Ag Admin Bld 2120 Fyffe Rd
Columbus, OH 43210
Email: gabag...@osu.edu
Mob.&nbsp;&nbsp;+16146073627
&nbsp;


From: Lilian Nsyenge &lt;lin...@hotmail.com&gt;To: Classmates Seminary &lt;ljsclas...@googlegroups.com&gt; Sent: Wednesday, November 7, 2012 10:20 AMSubject: RE: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA


Asante Rose. Nipo DSI naishi new hostel.


Date: Wed, 7 Nov 2012 04:33:02 -0800From: roselyne...@yahoo.comSubject: Re: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUATo: ljsclas...@googlegroups.com

Hongera Lili, Karibu SUA. upo department gani?

From: Lilian Nsyenge &lt;lin...@hotmail.com&gt;To: Classmates Seminary &lt;ljsclas...@googlegroups.com&gt; Sent: Wednesday, November 7, 2012 1:28 PMSubject: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA


Wapendwa wanadarasa,Ni matumaini yangu hamjambo mkiendelea vema na&nbsp; shughuli zenu za kila siku.Mimi na familia yangu hatujambo twamshukuru Mungu.Niwape pole wote mliofikwa na msiba katika familia zenu Mungu awafariji daima. Shida na fadhaa zetu anazijua sana na yu tayari kutusaidia.Niwape hongera wote mlooa na kuolewa na wale mloijaza dunia kwa kupata watoto Mungu awawezeshe kuwalea katika kweli yake na wanandoa mdumu katika ndoa takatifu.Ni muda mrefu sijasikika mtandaoni na nimepitwa na mambo mengi lakini tuko pamoja.Kwa sasa nipo SUA kwa Shahada ya Uzamili. Karibuni sana.Niwatakie baraka za Mungu katika kila kazi na maisha yenu kwa jumla.Wenu katika Kristo,Lily-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000

--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000 <mailto:res...@yahoo.com>

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages