Kaka Sabuka, Stewart pole sana ndugu yangu, tunakuombea faraja toka kwa Mungu.
hiyo hapo juu ni link ya group yetu na email yako ilishaongezwa siku nyingi sana, tafadhali naomba unijulishe kama hutapokea email hii from
LJSclas...@googlegroups.com, K ama hutaipokea from that add please send email back to
LJSclas...@googlegroups.com, tuone kama itaonekana kwenye group.
Naona tuanzie hapo, kwa sasa sina lazaidi bali kukutakia siku njima na ujasiri tele katika kukabiliana na simanzi, May God take care of you
and your family.
brai...@hotmail.comhttp://braillen.hi5.comhttp://braille.hi5.com