AM BACK........!

3 views
Skip to first unread message

Ras Frah

unread,
May 21, 2012, 5:26:26 AM5/21/12
to ljsclas...@googlegroups.com
SALAAM WANA FAMILIA.......
 
Napenda kuchukua fursa hii muhimu, kuwasalimu wana LJS2000 wote kwa umoja wao. Ni kipindi kirefu toka nimepotea katika mtandao, lakini upotevu huu ulikuwa ni kwa mema, ilikuwa ni katika kutekeleza tuu lile agizo la mwenyezi mungu kwa adam...."kwa jasho utakula", na inakuwa ngumu zaidi pale ambapo unakuwa katika sehemu ambayo aliye juu ndio mwenye maamuzi zaidi ya nini ufanye na wapi uende, kwa maana hiyo mara nyingi najikuta nipo nimetumwa maeneo ya vijijini ambako mawasiliano huwa tabu sana, na internet ni hadithi. "Pamoja Tutajenga"
Pili, napenda kuwapa hongera wote ambao kwa namna moja au nyingine wamefanikiwa kutimiza malengo yao waliyoyapanga, na kwa wale ambao hawajatimiza, tupambane na kuongeza juhudi zaidi, mungu yupo
Tatu nawapa pole wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wamekumbwa na majonzi ya kuondokewa na wapendwa wao, au matatizo mengine yoyote yanayokaribiana na hayo...yote ni mitihani ya mwenyezi mungu.
kwa wale wenye shughuli za kijamii (furaha & majonzi) ambazo zinahitaji nguvu ya umoja wetu, naomba tuzidi kushirikiana na kushirikishwa.
Mungu awabariki
 
"Bravery is not a quality of the body, it is of the soul"

amy mchelle

unread,
May 21, 2012, 6:00:09 AM5/21/12
to ljsclas...@googlegroups.com
welcome back ras Frah

--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000


Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages