Hi, Braille asante sana kwa utunzaji wa kiberenge!!!! pia nashukuru kwa introduction nzuri na majibu yako mazuri ya maswali yangu kuhusu hao wapendwa,Hiyo inatosha kabisa kwa leo B umetaja kila mmoja na wasifu wake barabara hujakosea hata kimoja.Wow! Pam it is great to hearing from you. Sasa tunasubiri kusikia habari njema kutoka kwako kama za mpendwa wetu Mariam,Njunwa na wengine. Lily pole kwa kupotewa na simu.Mbarikiwe woteee.Gigwa Stephen <gig...@nbctz.com> wrote:Habari zenu wapendwa?I trust you are well.Kaka Braille please add Dada Roselyne. The email is roselyne...@yahoo.comThanks.Gigwa
From: LJSclas...@googlegroups.com [mailto:LJSclas...@googlegroups.com] On Behalf Of braille
Sent: 24 October 2007 18:19
To: LJS 2000 class
Subject: [Potential Spam] [LJSclassof2000] to kaka Godwin AxwessoKaka Godwin Axwesso Mimi nashukuru kusikia kutoka kwako, kama ulivyotupa nafasi ya kutunza kiberenge .....basi nachuku nafasi hii kujibu maswali yako japo kwa kifupi, Maramu Godwin Ni Mariamu Mugendi, yaani yule mpendwa aliyekua akimfundisha Brian Bios na kumfundisha Resi Chem....mie alinifundisha Uzzzzzzzz....Naona umepata picha kwa kukupa reference zote hizo.Na Pam huyu ni yuleyule Pamela Maeda Mtoto wa mama Carter yaani Dada mtulivu kipenzi cha Jaja , mtaalamu wa debate/mabishano na rafiki wa mama Kolowa ..... mhhh Naona niishie hapo utakua umepata picha na uhakika juu ya wapendwa hawa.
<galgo...@yahoo.co.uk> wrote:Date: Wed, 24 Oct 2007 09:12:46 +0100 (BST)
From: Godwin Axwesso <galgo...@yahoo.co.uk>
Subject: [LJSclassof2000] Re: Your Will Be Done On Earth Ooh Lord!
To: LJSclas...@googlegroups.comWapendwa wanadarasa Amani na upendo wa Bwana wetu Yesu ukae pamoja nanyi nyote!kweli ninafurahi sana kusikia mara kwa mara kutoka kwenu.Amos umenikumbusha mbali mnooo...wakati wa mgomo kule shambani tukapewa adhabu ya kufyeka eneo kubwa la LJS chini ya ulinzi mkali wa Jaja. Pia umenikumbusha kwaya ya darasa na English services ya Jumatano, unakumbuka na hii---Satan has me bound...Jesus lifted me...Braille akishusha sauti yake ya tatu.... Braille asante kwa salamu hizo zimefika kwa shemeji yako.Aidha ninawapongeza wale waliojiunga na club hii ya kuitwa baba... na mama...ninawatakiaeni mafanikio kwa wale wanaotarajia siku za usoni kuitwa baba...na mama...Braille,Amos na wengine yenu lini????? Niliguswa na e-mail yako mam...No one is going to acting up. Kweli majukumu ya kutunza familia ni mazito twahitaji maombi yenu wapendwa. All in all I am glad that God is always fighting for us, He has so graciously given us strength when we are so weak, we have every reason to thank for every minute.
Wanadarasa mnitoe wasiwasi kwa maswali yangu mawili: Q1. Mariam Godwin ambaye hivi karibuni anampango wa kuuaga ukapero ni yupi? Q2.Na huyu Pamela mara kwa mara ninayesoma mistari yake kwenye net ni yule Pamela C.Maeda wa enzi za Mrs. Carter?Nimekandamiza kwa mwaka wa 1960... wowowooooo...Wanadarasa sasa najuburekisha mwenyewe.Nitakujaga baadaye, nawapendaga woteeeeeeeNimelongaga kama mmoja wa wajomba za mwanadarasa wangu. I am sorry Amy.Wishing you blessings from God and success in your daily life.''Wapenzi na tupendane...'' 1John 4:7
Amos Malongo <amos_...@yahoo.com> wrote:Ndugu wanadarasa wapendwa, nakusalimuni tena katika jina la Yesu! Ningali mzima hivi nikaona nikukumbusheni huu wimbo wetu wa "Your Will Be Done On Earth Ooh Lord" ambao pia waendelea na "Mayenziwe Antandho yakho....".nadhani hapo mmekumbuka English services siku za jumatano. Sitasahau siku moja Bass walipochemsha katika wimbo wa "Ninamwimbia Bwanaaaa......I,II,III -namwimbiaaaax2 (Bass:mwimbiaaaaa....mwimbia) ...I.Bwaaaaa..II.bwaaaaa...II.bwaaaa... IV: Bwana wangu.Basi ile aibu ilinifanya hata mvinyo niuone mchungu. Hizo ni kumbukumbu chache but there is a lot remember at LJS.("Kwani kuishi na shabaha......shabaha,shabaha......."basi nisimalize uhondo ipo siku tutakutana)Siku moja nikamkumbuka Mwl. Kutta na Mugisha Igilakwo pale uwanja wa football....alipomwuliza...."Igilakwo unaitwa nani..? watu wote tuliangua kicheko...kwakwakwakwaakwakwaaaaa!Haya bandugu naomba niishie hapo kwa leo, tukutane tena kipindi kijacho nitakapowaletea kumbukumbu za mgomo wetu wa kwanza wakati wa O'level kuhusu kulima shamba la mahindi...To the East..." Lily upo hapo? Pam je?Natoweka kwa namna hii......__________________________________________________
Do You Yahoo!?
Tired of spam? Yahoo! Mail has the best spam protection around
http://mail.yahoo.com
Yahoo! Answers - Get better answers from someone who knows. Try it now
Yahoo! Answers - Get better answers from someone who knows. Try it now
__________________________________________________
Do You Yahoo!?
Tired of spam? Yahoo! Mail has the best spam protection around
http://mail.yahoo.com